Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
257
Habari Wakuu,

Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi.

Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St Mary's Schools T 748 DJV(W) (hii herufi ya mwisho haionekani vizuri) lilikuwa limeegemea upande wa kushoto yaani kama linataka kuanguka, tairi upande huo inakaribia kuguswa na body ya gari hata kwa mtu ambaye si mtaalamu wa magari ataona kabisa kuna shida. Ndani watoto wamebanana, wa kubebana wamebebana, wengine wamekaa chini na hapo mzazi/mlezi anatoa hela yake. Video hiyo hapo chini👇

Hii nyingine ni gari ya mtu binafsi, lakini kilichonishangaza ni jinsi walivyowabeba wanafunzi hao. Kwa haraka haraka nadhani watoto hawa walipewa lifti, sasa hata kama ni lift unawawekeje kwenye buti hivi kama mizigo? Si bora uwaache usiwape lifti kuliko kufanya hivi? Hii ni sehemu ya mizigo halafu unaweka watoto wa watu hivyo, hapo huwasaidii unawaweka kwenye hatari zaidi. Sidhani kama wangekuwa watoto wake angefanya hivi. Jionee mwenyewe hapo👇👇

Nadhani wakuu mtakuwa mmekutana na mambo kama haya barabarani huko, wazazi mnafatilia kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani na watoto wanakaaje ndani? Au mkishalipa pesa ya basi mmemaliza?
 
Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St Mary's Schools T 748 DJV(W) (hii herufi ya mwisho haionekani vizuri) lilikuwa limeegemea upande wa kushoto yaani kama linataka kuanguka, tairi upande huo inakaribia kuguswa na body ya gari hata kwa mtu ambaye si mtaalamu wa magari ataona kabisa kuna shida. Ndani watoto wamebanana, wa kubebana wamebebana, wengine wamekaa chini na hapo mzazi/mlezi anatoa hela yake. Video hiyo hapo chini

Hii nyingine ni gari ya mtu binafsi, lakini kilichonishangaza ni jinsi walivyowabeba wanafunzi hao. Kwa haraka haraka nadhani watoto hawa walipewa lifti, sasa hata kama ni lift unawawekeje kwenye buti hivi kama mizigo? Si bora uwaache usiwape lifti kuliko kufanya hivi? Hii ni sehemu ya mizigo halafu unaweka watoto wa watu hivyo, hapo huwasaidii unawaweka kwenye hatari zaidi. Sidhani kama wangekuwa watoto wake angefanya hivi. Jionee mwenyewe hapo
View attachment 2630945

Nadhani wakuu mtakuwa mmekutana na mambo kama haya barabarani huko, wazazi mnafatilia kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani na watoto wanakaaje ndani? Au mkishalipa pesa ya basi mmemaliza?
Mbona nyie hamuoni shule za sareikali, mnasakama shule binafsi unafikiri mnalazimishwa kupeleka watoto, shule za ummah hali zao ni mbays hata gari mbovu hawana angalia hi hali watoto wanapanda mtungi mbovu kabisa maisha yao iko hatarini unawza ukalinganisha na magari ya private schools, shule za ummah watoto hutembea umbali wa kilomita 5 hadi 10 mbona hamsemi.
View attachment 2630969
 
Habari Wakuu,

Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi.

Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St Mary's Schools T 748 DJV(W) (hii herufi ya mwisho haionekani vizuri) lilikuwa limeegemea upande wa kushoto yaani kama linataka kuanguka, tairi upande huo inakaribia kuguswa na body ya gari hata kwa mtu ambaye si mtaalamu wa magari ataona kabisa kuna shida. Ndani watoto wamebanana, wa kubebana wamebebana, wengine wamekaa chini na hapo mzazi/mlezi anatoa hela yake. Video hiyo hapo chini👇

Hii nyingine ni gari ya mtu binafsi, lakini kilichonishangaza ni jinsi walivyowabeba wanafunzi hao. Kwa haraka haraka nadhani watoto hawa walipewa lifti, sasa hata kama ni lift unawawekeje kwenye buti hivi kama mizigo? Si bora uwaache usiwape lifti kuliko kufanya hivi? Hii ni sehemu ya mizigo halafu unaweka watoto wa watu hivyo, hapo huwasaidii unawaweka kwenye hatari zaidi. Sidhani kama wangekuwa watoto wake angefanya hivi. Jionee mwenyewe hapo👇👇
View attachment 2630945

Nadhani wakuu mtakuwa mmekutana na mambo kama haya barabarani huko, wazazi mnafatilia kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani na watoto wanakaaje ndani? Au mkishalipa pesa ya basi mmemaliza?

Umaskini mbaya sana, ni kufanya sala tu, na wazazi kuwa makini.
 
Mbona nyie hamuoni shule za sareikali, mnasakama shule binafsi unafikiri mnalazimishwa kupeleka watoto, shule za ummah hali zao ni mbali hata gari mbovu hawana watoto hutembea umbali wa kilomita 5 hadi 10 mbona hamsemi.
Ongeza na wewe Mkuu, mtu mmoja jhawezi kusema kila kitu
 
Hiyo ni shule ya ummah tunalipa kodi kila siku, ila angalia huo usafiri wa wstoto.
Screenshot_20230522-095025_WhatsAppBusiness.jpg
 
Hajakutana na wenye shida huyu..!
Kudogodesha tatizo haimaniishi hilo sio tatizo, una nafasi ya kusema pale unapoona mambo hayendi sawa. Kusubiri mtu aseme kitu halafu uje kudogodesha jambo haifai Mkuu. Mmoja kasema hiki, umeona kingine sema pia, kuka kimya haisaidii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom