Shule nyingi zinazoitwa English Medium ni za kisanii tupu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,511
Bado naamini Elimu iko kwenye shule za International School tu, kule kuna world clasll education, English medium ni utapeli mkubwa sana.

International School watoto hawasomi tu just kusoma kama ilivyo English Medium, kule watoto wanafunsdishwa skills zote za maisha kama wanazo taka, na hata mtoto akiwa peke yake anataka skills fulani atatafutiwa mwalimu. Kuna mtoto fulani ni Arusha yeye alikuwa anataka kujifunza Lugha ya Kichina, ilibidi atafutiwe mwalimu wa Kichina.

- Michezo, wanaviwanja ambayo vina levo sawa na vya kuchezea ligi.

- Muziki, Wana vifaa vyote vya kujifunzia mziki.

- Michezo ya kila aina, Baiskel, Tenesi, Mpira wa miguu, Basket ball na mingin meingi na kumbuka wana walimu qualifoed kwa kila idara ya michezo.

- Mabwawa ya kujifunza kogelea,

Mfumo wa kufundishwa wanao tumia ni ule shirikishi yaani sana wanatumia discusion na presentantions ndio maana watoto wana kuwa na confidence sana kwa sababu ya presentation na discusion nyingi sana Darasani.

Njoo English Medium sasa;

English Medium zenye viwanja tu vya michezo ni za kutafuta kwa tochi, nyingi zimepewa usajiri bila kuwa na kiwanja cha michezo, Saa za michezo wanacho fanya ni kuwapa watoto mpira wakakimbizane wenyewe kwenye eneo la assembly, zingine watoto wanachezea humo humo Darasani.

- Zimejikita sana kukaririsha watoto kuongea kingereza ili kuwa brainwash wazazi.

- Homework ndio nyingi sana plus tuition, yaani mzazi analipishwa ada na pia analipiswa pesa ya tuition.

Narudia tena ukiondoa kuwakariririsha watoto kingereza hakuna kitu kingine hizi shule zina offer kwa mtoto.
 
Back in the days when I was form 2 student,Kuna mwalimu mmoja aliyeitwa muhidin alitoa kauli Moja darasani siku hiyo alisema, ukitaka elimu ya 1000 utapata na ukitaka elimu ya milioni Moja utaipata. Ni Zaid ya miaka 12 Sasa tokea aitoe hiyo kauli ndipo nilipokuja kumuelewa alimaanisha Nini haswa.
 
Umenena point Tupu Mkuu
Watoto wa SENTI KAJAMBA kwanza wengi wao hawajiamini.

Muda wote wanatandikwa mabakora na kusukumwa sukumwa na walimu wenye hasira za madeni ya vikoba.

Mtoto muda wote anatetemeka amejaa mashaka na hofu, walimu wanamtisha na kumfokea kama msukule.

Ni bora ENGLISH MEDIUM, mtoto hanyanyaswi hovyo na anapewa elimu stahiki.
 
Bado naamini Elimu iko kwenye shule za International School tu, kule kuna world clasll education, English medium ni utapeli mkubwa sana.

International School watoto hawasomi tu just kusoma kama ilivyo English Medium, kule watoto wanafunsdishwa skills zote za maisha kama wanazo taka, na hata mtoto akiwa peke yake anataka skills fulani atatafutiwa mwalimu.Kuna mtoto fulani ni Arusha yeye alikuwa anataka kujifunza Lugha ya Kichina, ilibidi atafutiwe mwalimu wa kichina.

- Michezo, wanaviwanja ambayo vina levo sawa na vya kuchezea ligi.

- Muziki, Wana vifaa vyote vya kujifunzia mziki.

- Michezo ya kila aina, Baiskel, Tenesi, Mpira wa miguu, Basket ball na mingin meingi na kumbuka wana walimu qualifoed kwa kila idara ya michezo.

- Mabwawa ya kujifunza kogelea,

Mfumo wa kufundishwa wanao tumia ni ule shirikishi yaani sana wanatumia discusion na presentantions ndio maana watoto wana kuwa na confidence sana kwa sababu ya presentation na discusion nyingi sana Darasani.
Shule ya international.scholl kukupa hizo facility ada yake minimum milioni 18 kwa mwaka

Kama unazo peleka mwanao

English medium wanajitambulisha wazi kuwa wao ni English medium school inatumia syllabus ya NECTA ya Tanzania ada milioni tatu kwa mwaka tena unakuta ya bweni wakati hizo International School zinatumia syllabus za kimataifa za mataifa ya nje

Kutaka English medium zitoe huduma zile zile za shule za kimataifa kwa ada ya milioni tatu ni sawa na kwenda kwa mama nitilie anauza chakula sahani shilingi elfu moja kumtaka akuuzie chakula buffet ambacho kitaanza na starter ya supu na chenye kila kitu na akupe uma na kisu cha kulia hicho chakula kwenye mazingira safi kama ya hoteli ya kitalii ya nyota tano kwa hiyo shilingi elfu moja yako
 
Ulichoandika hakina tofauti hizi list ya mada hapa chini

1)Gari Range Rover bana lina stability, lipo imara, linanguvu nk sio Passo kigari hakina nguvu, hakina uwezo nk

2)Sehemu ya kuishi Masaki, Osterbay, na Mikocheni bana sehemu haina ushahili, hewa Safi barabara na nyumba nzuri nk sio MBAGALA Kuna uswahili, vijumba hovyo nk

3)Simu iPhone 12 bana camera kali, sijui kioo kizuri, umbo sio iPhone 6 kamera mbovu bla blaa

4)Chakula Wali maharage bana ukimix na nyama choma na maziwa pembeni juisi sio Ugari wa muhogo na dagaa chungu

Hizi mada unaweza andika hata 1000 sidhani Kuna mtu ajui kitu kizuri ni kipi ila uwezo wa pesa ndio unaamua mtu anunue au achague huduma gani unamfananishaje International school watu wanalipa ada mpaka million 70 pale IST unafananisha na english medium ada laki kadhaa unafikiri sisi hatuzijui hizo international wewe ndio unazijua Sana tuwekee Billion 700 kwenye bank then uwone jinsi gani tunajua vutu vizuri kuliko wewe
 
Bado naamini Elimu iko kwenye shule za International School tu, kule kuna world clasll education, English medium ni utapeli mkubwa sana.

International School watoto hawasomi tu just kusoma kama ilivyo English Medium, kule watoto wanafunsdishwa skills zote za maisha kama wanazo taka, na hata mtoto akiwa peke yake anataka skills fulani atatafutiwa mwalimu.Kuna mtoto fulani ni Arusha yeye alikuwa anataka kujifunza Lugha ya Kichina, ilibidi atafutiwe mwalimu wa kichina.

- Michezo, wanaviwanja ambayo vina levo sawa na vya kuchezea ligi.

- Muziki, Wana vifaa vyote vya kujifunzia mziki.

- Michezo ya kila aina, Baiskel, Tenesi, Mpira wa miguu, Basket ball na mingin meingi na kumbuka wana walimu qualifoed kwa kila idara ya michezo.

- Mabwawa ya kujifunza kogelea,

Mfumo wa kufundishwa wanao tumia ni ule shirikishi yaani sana wanatumia discusion na presentantions ndio maana watoto wana kuwa na confidence sana kwa sababu ya presentation na discusion nyingi sana Darasani.

Njoo English Medium sasa;

English Medium zenye viwanja tu vya michezo ni za kutafuta kwa tochi, nyingi zimepewa usajiri bila kuwa na kiwanja cha michezo, Saa za michezo wanacho fanya ni kuwapa watoto mpira wakakimbizane wenyewe kwenye eneo la assembly, zingine watoto wanachezea humo humo Darasani.

- Zimejikita sana kukaririsha watoto kuongea kingereza ili kuwa brainwash wazazi.

- Homework ndio nyingi sana plus tuition, yaani mzazi analipishwa ada na pia analipiswa pesa ya tuition.

Narudia tena ukiondoa kuwakariririsha watoto kingereza hakuna kitu kingine hizi shule zina offer kwa mtoto.
We ni mjinga kumbe ..
🤣🤣
 
Back
Top Bottom