#COVID19 Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,814
20,658
Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu.

Ona ukweli huu hapa👇



Kwa sababu hiyo Wataalamu wengi wa kujitegemea wanaamini kwamba njia zote zilizo ainishwa kwa sasa hazifai kwa vile ni wazi hazitatatui tatizo lililopo kwa kuwa haziku buniwa kwa kufuata science, bali kwa kuzingatia malengo yaliyokwisha pangwa miaka mingi iliyopita.Hii inathibitishwa na kuzidi kuongezeka kwa tatizo,hata pamoja na mbinu hizo za kishetani kuwekwa.Siajabu kwa hiyo kwamba tunamuona Rockefeller 1989
( Watch this below👇 last image)
akizungumzia mipango ambayo imekuja kufanywa miaka ya 2021.Zipo hata filamu zilizo igiza swala la Uviko-19 mwaka wa 2003!Ipo Event 201 ya 2019,ambayo ili fanywa kwa kuzingatia kwamba kunaweza kukawa na janga la ugonjwa kama Corona.Link niliyoweka hapo juu inao ushahidi mwingi pia unao onyesha kwamba tukio hili lilipangwa siku nyingi kabla ya kutokea na wamepanga liendelee kwa muda mrefu.

Mtu mwenye akili timamu unajiuliza,walijuaje kwamba swala la Uviko-19 litaibuka 2020 na wanajuaje kwamba litaendelea kwa muda mrefu?

Upo ushahidi mwingi usiotia shaka kabisa na nimeuambatanisha hapa👇


unao onyesha kwamba swala la Uviko-19 nia yake halisi,si kuwaepusha wanadamu na janga la Uviko-19, ila ni kuleta mauaji kwa wanadamu! Janga hilo wamelipachika jina la "pandemic," lakini
kimsingi sio pandemic ni scandemic, kwa kuwa janga hilo halipo!Mtu mwenye akili timamu,hata bila kuwa mtaalamu, akiangalia tu mazingira ya tatizo,anagundua haraka kwamba kipo kitu ambacho hakiko sawa kwenye swala zima la Uviko-19.

Jambo linalotushangaza kuhusu viongozi wa dini hata hivyo ni kwamba pamoja na ushahidi mwingi uliopo, kwamba Uviko -19 ni swala la kiroho na linapaswa kutatuliwa kiroho,hatujaona msimamo wa pamoja wa kiroho kuhusu swala hili.

Lakini ni hawa hawa viongizi wa Dini waliokubali kuliingiza taifa kwenye maombi miezi michache tu iliyopita na taifa likawa shwari.Katika kipindi hicho pia uchumi wa taifa letu haukuyumba,na maadui zetu wakatupongeza kwa uchumi wetu kukua.Ni nini kimewatokea viongozi hawa, mpaka wamegeukia tena upande wa adui na kuamini kwamba hiki kinachoitwa chanjo ambacho kimsingi sio chanjo kitatusaidia?Je tuamini kweli kwamba viongozi hawa hawajui kwamba hii sio chanjo, ila imepewa tu jina la chanjo ili kuwadanganya Wanadamu?Je tuamini kwamba viongozi wetu wa dini kweli hawajui kwamba hii chanjo ni ya majaribio na imekiuka Nuremberg Codes zote?Sina shida sana na madhehebu kama Roman,Moslems ,Manabii na Mitume au any other mainstream churches,kwa kuwa hayo tayari kwa kiasi kikubwa yamekamatwa na Mr.Global, nina shida na madhehebu yanayojiita ya kiroho au Kipentekosti,mpo wapi?TAG,CAG,EAGT,FPTC nk.,mpo wapi?Mbona mmekaa kimya,huku waumuni wenu wakiwa kama kondoo wasio na mchungaji?Katika mazingira haya kuna haja kweli kuamuamini yeyote anayejiita kiongozi wa dini?Mmeshindwa hata na Gwajima!Je Shetani ameshawaweka mfukoni kama alivyo ahidi?

Kwa watu wanao ongozwa na Roho Mtakatifu au hata wenye ufahamu wa maandiko kidogo tu, ni wazi kwamba udanganyifu huu umetoka kwa Ibilisi,na nia ni kutengeneza njia ya kumleta mkuu wa ufalme wa giza:the Beast,the Antichrist or Lucifer,ili aitawale dunia.Biblia imetabiri hili.Inashangaza kwamba viongozi tulio wategemea kutuongoza katika muda huu nyeti sana kwenye historia ya kanisa, hawajaonyesha any leadership.Bwana Yesu alisema,"je nitakapo kuja nitaikuta imani?" Inaelekea kweli hataikuta imani.Kiufupi viongozi wa dini wametuangusha sana.Ila Biblia iko wazi, wategemee hukumu iliyo kubwa zaidi.Kazi kwao.

IMG-20210804-WA0000.jpg
 
Achana na dini ni uongo,weMUNGU akamuue mwanae yesu kwa ajili ya dhambi zetu akamuacha shetani,na unaamini
 
Wazungu wanataka kutuua wachukue madini yetu 😂😂😂

Alisikika mlalahoi akiwa kwenye maandamano ya mbowe pale mahakamani.
 
Viongozi wa Dini siyo kama wametuuza kuna mtego mkubwa sana uliopo kwenye Corona kwa upande wa Dini.
Kuna kitu kinaitwa unabii kutimia Dini moja wanapoona Unabii umetimia kwenye Dini au Dhehebu nyingine hawapo tayari kuunga mkono kwa sababu wameaminishwa kuwa wale wa Dini ile wamepotea wale ni wamotoni.
Dini ua Dhehebu baadhi wataunga mkono chanjo na wangine watakataa Chanjo
 
Dini zipi? Za wazungu na wayahudi (ukristo), za waarabu (uislam) au za waafrika? Na kwani kuna dini yenye kiongozi au una maanisha viongozi wa makampuni (mazehebu) ya yenye mwelekeo wa hizo dini.?
 
Back
Top Bottom