Nimegundua rasmi kumbe shetani ni binadamu wala si pepo kama wengi tulivyokaririshwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Nimekuwa nikitafta namna ya kumhoji shetani!

Lakini rasimi kafunguka! Kasema kwamba baadhi ya mambo mengi binadamu tunamsingizia shetani!

Mfano:

  • Anayekufunga kwa hira ni Binadamu mwenzako tena kutwa yupo kanisani
  • Anayewanyima haki binadam wenzake ni binadamu huyuhuyu aliyeapa kwa katiba
  • Anaekuwangia usiku ni binadamu anaetumia wanyama kama paka n.k
  • Anaekugongea mkeo/ mmeo ni binadamu kama wewe
  • Anarkuzungusha kukupatia huduma kwenye ofisi ya Umma ni binadamu mwenye moyo na damu
  • Huko hospital anaemtelekeza mgonjwa wako ni huyo binadamu
  • Anaekuombea njaa ni binadamu shetani yeye anasema ni mtu wa bata
  • Anaekunyima Uhuru wa habari ni binadamu kama wewe
  • Mabaya yote tunayoyaona yanatoka kwa binadamu wenzetu wenye moyo na damu n.k
Shetani anasisitiza, Kama ilivyo KISU kwenye kesi za mauaji, Mwenye makosa siyo kisu bali Ni BINADAMU!

Laiti kama KISU kikitumika sawasawa hakina MADHARA!

Ndivyo ilivyo kwa Shetani! Anasema hana shida na mtu! Bali ni sisi wenyewe Binadamu HATUJIELEWI!

Shetani anasema yeye Hapendi SHIDA! Yeye ni kama Nyundo ya FATUMA! ni maamuzi ya BINADAM kujengea au kubomolea!

Ni hayo tu shetani kasema na mm!
 
Mungu na Shetani ingekuwa ni watu au viumbe fulani wanaoishi, mimi bila kulazimishwa ningeenda kukaa na Shetani.
Mimi sioni kama Mungu au Shetani wapo.

Ni fikra tu za mtu ndiyo huendesha maisha yake na wala siyo Mungu wala Shetani.
 
Halafu kama hujui Shetani alimuomba Mungu amjaribu ayubu!

Ndo ujue shetani hana ubaya huo!

Shida ni sisi binadamu tunamtumia vibaya kwasababu popote yeye anatwanga tu hanaga noma na mtu.
 
Tabia za shetani unazijua lakini? Anapenda damu za watu na tigo 🤣
Mungu na Shetani ingekuwa ni watu au viumbe fulani wanaoishi, mimi bila kulazimishwa ningeenda kukaa na Shetani.
Mimi sioni kama Mungu au Shetani wapo.

Ni fikra tu za mtu ndiyo huendesha maisha yake na wala siyo Mungu wala Shetani.
 
Hapa ndipo huwa nathibitisha kuwa Mungu ni Fundi! Kutofautiana kwa fikra namna hii ndio umaridadi wa ufundi wa Mungu!
 
Mungu na Shetani hawapo mkuu, na kama wangekuwepo mimi ningekaa upande wa Shetani bila kujali ana tabia gani.
Mimi siko na neno juu yako. Mungu kama iko ikujulishe kwa upendo maana yeye ni baba yako.

Na kama shetani iko, basi utaambiwa na baba Mungu ili uwe makini.
 
Mimi siko na neno juu yako. Mungu kama iko ikujulishe kwa upendo maana yeye ni baba yako.
Na kama shetani iko, basi utaambiwa na baba Mungu ili uwe makini
Mungu hawezi kuwa baba yangu, baba yangu alifariki nikiwa mdogo.
 
Mungu hawezi kuwa baba yangu, baba yangu alifariki nikiwa mdogo.
Nyie ambao mnajionesha mmemkasilikia Mungu sababu tunazijua, ni Tamaa za mambo ya kidunia zinawasumbua tu.

Kuna watu wana baba na mama lakini walikimbia familia zao nakwenda kuwa machoko.

Unamuuliza wewe baba ako anaumuhimu wowote kwako anakwambia hakuna.

kuna mtu alizaliwa baada ya mama ake kubakwa na kibaka/baba yake.

ACHANA NA TAMAA ZA MWILI WAKO.
 
Nyie ambao mnajionesha mmemkasilikia Mungu sababu tunazijua, ni Tamaa za mambo ya kidunia zinawasumbua tu...
Umeandika vitu vya ajabu sana, sina uwezo wa kuelewa vitu vya ajabu kama hivyo.
 
Mungu na Shetani ingekuwa ni watu au viumbe fulani wanaoishi, mimi bila kulazimishwa ningeenda kukaa na Shetani.
Mimi sioni kama Mungu au Shetani wapo.

Ni fikra tu za mtu ndiyo huendesha maisha yake na wala siyo Mungu wala Shetani.
Wacha weee! Shibe mwanamalevya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom