Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,688
Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha ushoga kwenye sheria zake

Ushoga unahalishwa wa kisingizio cha haki za binadamu lgbtq rights, kwa mtu mwenye akili timamu anaefatilia mitandao atagundua hii dhambi inafosiwa sana kuingizwa kwenye akili zetu ili ionekane kama ni jambo la kawaida.

Sijajua aim ya shetani kwenye hilo ni nini
 
Kwasababu dhambi nyingine mnazidharau.

Ni kama muslims na kula kitimoto, yaani mengine atafanya na kuyachukulia poa ila inapokuja kitimoto mtauana, mtego mbaya sana huu.
 
Na wanwatumia watu maarufu

Ndiyo maana ukishaanza kujulikana ktk Jamii basi nirahisi sana kukubaliwa kujiunga na freemason
 
Kuna dhambi iliyoenea na kukubalika kama uasherati au wizi/ufisadi, hasa sehemu kama Tanzania. Wewe kwa sababu ubongo wako umeamua kuchagua kuona ushoga ndiyo maana umeshazizoea hizi nyingine na kuziona kama ni jambo la kawaida.
 
Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha ushoga kwenye sheria zake

Ushoga unahalishwa wa kisingizio cha haki za binadamu lgbtq rights, kwa mtu mwenye akili timamu anaefatilia mitandao atagundua hii dhambi inafosiwa sana kuingizwa kwenye akili zetu ili ionekane kama ni jambo la kawaida.

Sijajua aim ya shetani kwenye hilo ni nini
Huenda Mungu amefanya update ya dhambi za kwenda motoni na kubakiza ushoga.
 
Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha ushoga kwenye sheria zake

Ushoga unahalishwa wa kisingizio cha haki za binadamu lgbtq rights, kwa mtu mwenye akili timamu anaefatilia mitandao atagundua hii dhambi inafosiwa sana kuingizwa kwenye akili zetu ili ionekane kama ni jambo la kawaida.

Sijajua aim ya shetani kwenye hilo ni nini
Zanzibar ni taifa kubwa, mbona ushoga umeshamiri kule?
 
Yaani kwasasa kila filamu ya hollywood lazima kuwe na kipengele cha mapenzi ya jinsia moja... Imekuwa kama sheria kwao
 
Sasa hilo jambo linapromotiwa na shetani au watu kwa maslahi yao binafsi??
 
hakuna dhambi mpya chini ya jua, nyingine ni marudio na muendelezo tuu.

kwakuwa kila chanzo cha dhambi ni shetani. Kwanini Mungu asimfutilie mbali huyo shetani dhambi ziishe ulimwenguni?
 
Kwa hiyo serikali ya CCM inapo-promote ushoga kwa nguvu zote ni mashetani?😁😁😁
G75.jpg
 
Shetani anajua fika kuwa hii dhambi ni mojawapo ya dhambi kuu ambazo huwasha hasira za Muumba wetu.
Kumbukeni Sodoma na Gomora na alichofanya Mwenyezi Mungu.
Someni maandiko kuhusu maneno ya Mungu na (hii dhambi sudhani kama ina msamaha) 'Ole waowafiraji na wafirwaji kwa maana KAMWE hawataingia ktk ufalme wangu'
Lengo la shetani hapa ni muendelezo wa kupata wahalifu wenzake kutoka kwa wana ma Mungu.
Jiongeze, chukua hatua na kataa dhambi hii kwa nguvu na akili zako zote ulizopewa
 
Back
Top Bottom