Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".
Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
Uongo ule ule alioanza nao mwanzo kwa binadamu bado mpaka leo anaendelea nao. Funguo (the power/keys to the gates of the hell) alishanyang'anywa miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Kichekesho kikubwa asilimia kubwa ya wahubiri siku hizi wanahubiri nguvu zake.
Fungulia redio za haya makanisa (aka...
Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini?
Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile?
Yawezekana shetani anasingiziwa mengi.
Maoni na Majawabu tafadhali!
Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo.
Wanachadema mlianza kupoteza ladha pale mlipoanza kuugeuza ushetani wa kipindi chote mlichokuwa mnaupinga lakini ghafra sana ule...
Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’
Sasa...
Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe...
Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani!
Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha!
Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
KIBERA, Kenya – The Bill & Melinda Gates Foundation today announced two new grants totaling US$2 million for Kenyan HIV/AIDS prevention-focused initiatives. William H. Gates, Sr., co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation, made the announcement at an HIV/AIDS town forum in Kibera, a...
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now.
nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya.
kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
Hili suala tulijadili kwa Logic!
Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.
Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
Kuna chapisho linaitwa "satan the servant of God", wengi walitaka kujua mwandishi kaongelea nini humo ndani, ni mengi...ila point ni kwamba Shetani amekuwa akitumika na Mungu mara kwa mara ili kuwachambua walio wake na wasio wake.
Kwamba mwamba amekuwa akitumwa hapa na pale na anawekewa...
Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9
Ayubu 1: 7-9
[7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
[8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu...
Wakuu tangu niamue kuokoka nimepata changamoto kubwa sana, leo nimezini mara ya pili hata wiki haijaisha.
Yani ni kama kasi imeongezeka, halafu niliye zini naye leo ni demu aliye nipiga chenga muda mrefu sana nikakata tamaa nikaacha kumfukuzia.
Jana akanitafuta akaniambia yupo Moro nikamjibu...
Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.
Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na...
Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali...
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God...
Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT).
Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo
1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue
2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.