Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,018
- 2,599
Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas.
Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini nachuckua BSc MTA (MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION) frankly speaking nilisoma CBG shule Fulani ya serikali huko pwani Mkuranga lakini kiukweli Mimi Nilikuwa napenda sana masomo ya arts hususani History,Ila kutokana na ugumu wa maisha na shinikizo la wazazi nanukuu "yaani wewe mwanaume unataka kusoma masomo ya kike".
Basi nikajikuta naacha masomo ambayo hakika ni kipaji changu hasa somo la historia na target yangu siku za usoni panapo uhai ilikuwa kuwa wakili msomi na baadae niwe hakimu kusaidia wanyonge lakini nikaenda advance na kufaulu Kwa ufaulu wa kawaida Tu Kwa sababu Nilikuwa natumia nguvu nyingi Sana kusoma na Mungu si athumani nikapata Division two ya mwisho yaani ya kumi na mbili CBG (D.D.D) Na Nilipata S ya BAM (Basic applied mathematics) hivyo nikaomba angalau SUA nisome hata forestry lakini selection zote nilitemwa nami nikaona mtaani nitachakaa mapema Bora niombe course ambayo naweza pata mkopo hivyo nikapata hio Bsc MTA ingawa ni nzuri pia naweza kujiajiri kama now natengeneza logo, website ,na ANIMATION japo sio Kwa ubora ule lakini ni suala la muda Tu nitakuwa Pro,Ila bado nahitaji nikasome Sheria ili kipaji changu kisipotee niweze kuacha legacy Kwa kusaidia wanyonge naomba mwenye ufahamu wa hili suala kama inawezekana anipe Asanteni.. Nawasilisha..