IGP Sirro: Polisi hawatawaingilia wanasiasa watakaofuata sheria

Nancyjoa13

Senior Member
May 18, 2018
167
97
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.

images.jpeg-2.jpg
 
Salaaam zimfikie Simbachawene,usalama barabarani ni chanzo cha mapato kwenye Utawala wa Jiwe.
 
Sijui kama anaelewa maana ya hiyo kauli yake?

Wapinzani siku zote huwa hawavunji sheria, bali wakifanya lolote lisilowapendeza CCM jeshi la polisi hutumika kuwakamata wapinzani, halafu wanasema wamewakamata kwa kuvunja sheria.

Hivyo ingependeza zaidi aseme jeshi la polisi halitakubali kutumiwa na CCM kuonea wapinzani, angeeleweka vizuri zaidi.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.

Siku zote polisi huwa wakweli
 
Acha utoto wewe hao walijaa magerezani 80% ni vijana wanajifanya wapinzani
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.

Hilo pic kwenye avatar noma sana
 
Sijui kama anaelewa maana ya hiyo kauli yake?

Wapinzani siku zote huwa hawavunji sheria, bali wakifanya lolote lisilowapendeza CCM jeshi la polisi hutumika kuwakamata wapinzani, halafu wanasema wamewakamata kwa kuvunja sheria.

Hivyo ingependeza zaidi aseme jeshi la polisi halitakubali kutumiwa na CCM kuonea wapinzani, angeeleweka vizuri zaidi.
wanavunja sana tuu
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.

Kwi Kwi Kwi
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao

Amewaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
 
Haaminiki Igp, kesho atapewa amri na rais au Mkuu Wa mkoa akamate wagombea wote Wa upinzani halafu ataanza kulialia.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao

Amewaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
Mseminalist, hata sheria kandamizi watu wazitii? Sheria onevu? Bad law is no law at all! bad Law Is Not Only Very Bad News for People, It's a Very Bad Idea.

“Lex malla, lex nulla. A bad law is no law.”
 
Back
Top Bottom