29 Agosti 2020
Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa kuwarejesha wagombea wa chama hicho walioenguliwa, anazungumzia hapa vitendo vya kukiuka sheria...
Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha.
Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua kwa mujibu wa katiba kwani hakuna mgombea aliye juu ya Sheria.
Kavishe alikuwa akijibu swali la...
Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
Habari zenu.
Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme.
Mimi ningependa kujua kuhusu leseni ya uendeshaji wa hivi vyombo vya umeme, sheria inasemaje? Je ime specify kuwa ni vyombo vya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.
TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
1. Mapingamizi yaliyowekwa na Lissu ni matokeo ya tafsiri mbaya ya sheria iliyofanywa na Tume, tume inaongozwa na Jaji na wasomi wa Sheria. Je, wanafanya Nini huko ofisini? Unapotoa misleading instructions kwa wagombea Urais si jambo dogo hata kidogo, si makosa ya kibinadamu haya bali ni makosa...
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa...
Salaam wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli?
Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha...
NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa hizo zinaweza kupeleka uvunjifu wa amani
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson...
"No one is above the laws of the country".
Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug...
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria.
Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
Nadhani wanasheria wa mahakama zetu hufanya kazi ya ziada kusoma na kuzielewa sheria za Tanzania kwani nyingi zimeandikwa kwa kiingereza kibovuambacho kinaweza kuharibu maana ya sheria yote. Nadhani huwa inawafanya wanasheria wazichuje kwa makini kujua malengo yake.
Kwa mfano hii snapshot ya...
Wakuu amani iwe nanyi! Kwa Siku za hivi karibuni kumeibuka tetesi mbalimbali zinazosema kuwa mgombea mwanachama na makamu mwenyekiti wa chadema bara ndugu Tundu Lisu amevunja moja ya kanuni muhimu ya sheria za tume ya uchaguzi. Kanuni hiyo ni kwambaTundu Lisu ameanza kampeni kabla ya wakati na...
Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
atika
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo katika kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka...
Sheria ya kumtoa mgombea kwenye Uchaguzi kwa sababu ameanza kampeni kabla ya wakati.Hii sheria Ni ya kijinga kabisa. Kwa sababu haieleweki.
Inashidwa kutofautisha Kati ya siasa za kawaida na kampeni. Inashindwa kutofautisha Kati muda wa kufanya siasa za kawaida na kampeni.Haileweki.
Rais...
Tundu lisu ni mwanasheria mzuri sana anajua lipi ni kosa kisheria na lipi si kosa kisheria
Kama anajua kuwa kufanya maandamano ya shangwe na bashasha wakati wa musiba wa Mzee Mkapa si kosa kisheria basi atagombea Urais wa JMT
Kama anajua kuwa kuidanganya mahakama kuwa hawezi kuhudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.