sheria

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Tuunde Sheria mpya ya Ndoa kwa mtindo huu ili kuepuka upweke

    LET US CREATE NEW LAW IN BREAKING MARRIAGE or MARRIAGE TO BE COME DIVORCED ITSELF AFTER SEPARATION. Hey, my Funs to day DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Affair Advisor giving you some points to show that a Marriage has already broken in Law an Fact due to one party...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

    Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana. Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria. Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata. Kwanza Tanzania...
  3. Segekid

    JamiiForums Tanzania Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

    Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi. Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria zinazozuia matusi katika Uchaguzi Mkuu ni zipi?

    Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa? Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
  5. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua mamlaka ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015)

    1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Uadilifu Malawi: Mwanasheria aliyemsaidia Rais Chakwera kushinda kesi ya uchaguzi akataa uteuzi wa kuwa Waziri wa Sheria na Haki

    Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera. _ Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi...
  10. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

    Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali. Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
  11. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje suala hili?

    Naomba kujua sheria zinasemaje, Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na Polisi, na kuchunguza nyaraka zake. Huyu Mheshimiwa anakwepa kwepa kwa kuandika barua sehemu...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania DRC: Kukamatwa kwa Waziri wa Sheria kwaleta tishio la kuvunjika kwa Serikali ya Mseto

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais kuwahakikishia mawaziri utetezi wa kisheria. Waziri wa Sheria Celestin Tunda alikamatwa na polisi Jumamosi...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  16. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  17. Msomaliii

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa sheria za barabarani

    Habarini wakuu. Naomba kufahamu kuhusu hizi sheria za barabarani, nimechanganyikiwa baada ya jana jion kukutana na trafiki apa kituo cha segerea akiwa anang'oa plate number ya daladala. Naomba kufahamu juu ya hizi sheria na mamlaka aliyo nayo huyu trafiki na zipi ni hatua stahiki za kufuata na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

    Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni. Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
  19. Kabulala

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa unashindwa vipi!?

    Katika KAZI rahisi Sana ktk nchi hii mojawapo ni mkuu wa Mkoa (mwakilishi wa Rais kama wanavyopenda kujiita). KAZI kubwa ya RC ni kusimamia ulinzi na usalama Kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo mkoani kwake. Kwangu Mimi hii ndio KAZI mama ya RC, Mambo mengine kama vile...
  20. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rais wa Wanyonge anajitungia sheria ya kutoshitakiwa ndani ya siku 3 lakini sheria ya kuwapa raia dhamana hataki mwaka wa 5 huu

    Anajiita Rais wa wanyonge ambaye ni muadilifu, Mcha Mungu na Mpenda wanyonge ambaye kajawa na hofu ya kushitakiwa kwa mema anayoyafanya kwa wanyonge wake na kuamua kujitungia sheria ya kutoshitakiwa atokapo madarakani kwa uadilifu anaoufanya kwa taifa la wanyonge. Kiongozi huyo wa wanyonge na...
Back
Top Bottom