Sheikh Ponda anyimwa Dhamana, kisa Waraka. Hivi Kuandika Waraka kwa Sheria za Tanzania ni Kosa?

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
IMG_20200714_174959.jpg

Zaidi, soma: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi
 
Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
 
Kuna kipi cha kujadili mkuu 'Chief'.

Huyo sasa anatumikia kifungo kisicho rasmi.

Kama kuna mashtaka yoyote wanayoweza kuyatunga, hapo ndipo atakapofikishwa kwenye taratibu za kisheria, na ikilazimu hata huko watapindisha sheria ili apewe kifungo rasmi.

Hii nchi sasa inataratibu tofauti kabisa na zile zilizokuwa zimezoeleka.

Kwa hiyo ni kawaida sasa, na watu wamekwishazoea, watu wanaadhibiwa kabla ya mashtaka. Mashtaka yanakuwa mwendelezo tu wa adhabu.
 
Kumbuka maandishi hutengeneza imani na imani ikilenga utengano huzaa vita na machukizo kwa wale wenye ile imani kuchukia imani nyingine,nchi yetu haina hayo na ni sumu kubwa. Huyo msimtetee, serikali ama sheria inajua sana kupita mfikiriavyo ninyi,na kama wamempeleleza na kugundua madhara ya kiusalama kwake ana bahati mimi sijawa jaji na ningekua jaji angekua na bahati iwapo nisingeamua kesi yake,ningemgonga mvua kama 300..kwa nini nasema hivyo,akizua vita vya kidini chukulia wewe ndo mwenye dini hiyo na vita wakawa wanashinda wale wale wa dini nyingine,wakakufikia na wewe unaetia imani hiyo ukiwa na watoto wako unaowapenda sana na mkeo,na wale wa imani nyingine wakaanza kukumaliza mmoja baada ya mwingine ktk familia yako mbele ya macho yako kama kipindi cha Rwanda na mauaji ya kimbari,unaweza ona nikwambiacho ni cha kipuuzi ila utaona ni upuuzi kwa kua hayajakufika, acheni sheria iamue kulingana na kosa lake,acheni midomo na ushenzi.
Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
 
Kumbuka maandishi hutengeneza imani na imani ikilenga utengano huzaa vita na machukizo kwa wale wenye ile imani kuchukia imani nyingine,nchi yetu haina hayo na ni sumu kubwa. Huyo msimtetee, serikali ama sheria inajua sana kupita mfikiriavyo ninyi,na kama wamempeleleza na kugundua madhara ya kiusalama kwake ana bahati mimi sijawa jaji na ningekua jaji angekua na bahati iwapo nisingeamua kesi yake,ningemgonga mvua kama 300..kwa nini nasema hivyo,akizua vita vya kidini chukulia wewe ndo mwenye dini hiyo na vita wakawa wanashinda wale wale wa dini nyingine,wakakufikia na wewe unaetia imani hiyo ukiwa na watoto wako unaowapenda sana na mkeo,na wale wa imani nyingine wakaanza kukumaliza mmoja baada ya mwingine ktk familia yako mbele ya macho yako kama kipindi cha Rwanda na mauaji ya kimbari,unaweza ona nikwambiacho ni cha kipuuzi ila utaona ni upuuzi kwa kua hayajakufika, acheni sheria iamue kulingana na kosa lake,acheni midomo na ushenzi.
Umefikiri Kwa ufinyu Sana,, soma waraka wake vizuri,,,Anazo hoja za msingi na inavyo onekana sio zake BINAFSI na za kikundi kikubwa ingetumika akili Ku deal nae na sio. mabavu!... sasa Jeshi la POLISI linapanda chuki ,,likiamini linaweka HOFU Kwa wahusika!..lakini pia kaomba Tume huru ,,na katiba mpya,,kwangu Mimi ,Nikiweka udini pembeni ANAZO HOJA za msingi,,ajibiwe Kwa hoja Sio mabunduki,,AMANI ITAONDOLEWA NA WENYE ZAMANA YA KUITUNZA,,,
 
Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?
Mmmmmmhmn ila kama sasa analeta hiyo picha hapo atakuwa anamakosa kwasababu hapo nikuwajengea raia picha ya udini of which inaweza kuwa sio motive behind hizo teuzi.

Kimsingi kiongozi mzuri wa dini ni yule ambaye anateta kwa faragha na wakuu wa taasisi husika au anapokuwa ana address jambo haliweki katika sura ya ubaguzi. Sasa kusema wakristo wanawabagua waislam hiyo si ni kauli ya kichochezi......

Hivi wewe tu binafsi nikuulize siku huko uswazi kikaamka. Kikundi cha kihuni ambacho kikaamua kujichukulia maamuzi ya kuattack kanisa ambalo ndani kuna watoto wadogo.....

Utakuja kujisikia vizuri siku unatazama picha za ukatili wamefanyiwa?!

Hata rwanda yalipoanza mauwaji yale ya halaiki watu walikuwa wanachukulia poa sana mwanzoni.

Yaani kipindi kile jamaa wanaanzisha maneno ya fitina, kuitana kuita raia wenzao mende na maneno mengine ya kejeli na hatimae machafuko yakaanza.

Hivi umeshawahi hata kuingia youtube ujionee story za watu za genocide ya Rwandan massacre?!

Me huwa natamani watu kama wewe unabebwa unapelekwa pale rwanda unatembezwa kwanza kwenye zile memorials house ujionee idadi ya mafuvu ya watu waliouwawa.

Then unapelekwa kwa survivals wa genocide, both waliodhurika na majeraha na walioshuhudia ukatili dhidi ya ndugu zao, baba na mama zao na hata watoto wao.

Imagine kuna tukio moja la watoto yatima waliokuwa kanisani jamaa waliingia wakafyeka watoto wote kwa upanga.... Just imagine..... Hiyo ndio picha unastahili kuiona ndipo uelewe.

Kimsingi hauna unachofahamu kuhusu jamii na maisha.

Ukitoka huko ukisoma huo waraka wa Ponda utajua kuwa huyu jamaa sera zake zinaweza kuwa nzuri na za kuvutia kwa waislam ila zisiwe nzuri kwa jamii ya mtanzania......

Anachofanya ni uhaini kwa jamii. Anatetea masilahi ya waislam as if hakuna waislam wanaishi vizuri au hakuna wakristo wanaopata taabu, au as if Tanzania nzima imejawa na waislam na wakristo tu.....

Shame on him he is doing a pathetic work.
 
Huyu Mwamba Namkubali sana ni kichwa hasa kweli sio muoga wala sio mnafiki. Naamini watu wanaoteseka kwa kuisaka haki duniani watakuwa na utulivu mbinguni.
Hebu tupe ufafanuzi wa haki anazozitafuta ambazo wengine tunapata shida kuzitambua au kuzielewa
 
Umefikiri Kwa ufinyu Sana,, soma waraka wake vizuri,,,Anazo hoja za msingi na inavyo onekana sio zake BINAFSI na za kikundi kikubwa ingetumika akili Ku deal nae na sio. mabavu!... sasa Jeshi la POLISI linapanda chuki ,,likiamini linaweka HOFU Kwa wahusika!..lakini pia kaomba Tume huru ,,na katiba mpya,,kwangu Mimi ,Nikiweka udini pembeni ANAZO HOJA za msingi,,ajibiwe Kwa hoja Sio mabunduki,,AMANI ITAONDOLEWA NA WENYE ZAMANA YA KUITUNZA,,,
Hivi mnadhani katiba mpya ndo itafanya nchi kua ya maziwa na asali?inaweza kua katiba mpya na mwisho wa siku ukajuta tu! lazima tutumie hekima na si kila asikiacho mtu akilini mwake,ninaamini hata wanaomzuia wana cha msingi zaidi na si wajinga
 
Katika hali ya kawaida kama anatetea masilahi ya dini hatakiwi kuleta hivyo vitu katika public media kumbuka hili taifa sio la katiba ya kidini so obviously utaleta picha mbaya.

Yeye kama anachangamoto za kidini anatakiwa akaziaddress kwa namna nyingine katika platforms zingine huko kama kwenye mihadhara na shughuli za kiimani ila sio kwenye platform za kitaifa.

Kujadili maswala ya kidini kwenye taifa kama Tanzania ni sawa kama kuwajadili maX wako na wa mke wako katika mazungumzo vitu ambavyo mlifanya nao...... Mtakorofishana.
 
Ujinga ni kuamini wapo katika mateso kwasababu ya dini wakati maisha haya tunapitia sote.... Wote tunapata shida. Ingekuwa kila siku raia wanaoajiriwa kigezo kimojawapo nii dini mimi ningeungana mkono na huyu sheikh ila shida ni akishakula magimbi na uji wa ulezi anaanza kutuletea mashikolo magembe....
 
Unafikiri kukasirika au kujaa na ghadhabu kunaweza kubadirisha uhalisia? Unaweza dhani unajua na hujui,huoni huo ninaina ya upuuzi
 
Usalama wa Tanzania yetu hadi hapa tulipo sasa ni kuwa serikali yetu haina utani hata kidogo na watu wenye viashiria vya ubaguzi wa aina yoyote ile uwe wa kikabila au wa kidini watu kama hawa huwa wanashughulikiwa mapema Sana kabla hawajaleta madhara. Mtu kama huyu si wakucheka nae hata kidogo uchunguzi wa kina ufanyike na sheria ichukue mkondo wake
 
Katika hali ya kawaida kama anatetea masilahi ya dini hatakiwi kuleta hivyo vitu katika public media kumbuka hili taifa sio la katiba ya kidini so obviously utaleta picha mbaya.

Yeye kama anachangamoto za kidini anatakiwa akaziaddress kwa namna nyingine katika platforms zingine huko kama kwenye mihadhara na shughuli za kiimani ila sio kwenye platform za kitaifa.

Kujadili maswala ya kidini kwenye taifa kama Tanzania ni sawa kama kuwajadili maX wako na wa mke wako katika mazungumzo vitu ambavyo mlifanya nao...... Mtakorofishana.
Sawa Mkuu,, Ila huo waraka Una hoja nyingi nzito,, mbali na issue za Dini,,, kuna issue ya katiba mpya,,Kuna issue ya Time huru,,Haya Kama unaona mbali ni muhimu sana,, Ila pia Nazungumzia habari za kutekana tekana tena kakupa mifano Hai!..
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom