Trump atunga Sheria kudhibiti makampuni ya dawa za binadamu na kuyalazimisha kushusha bei za dawa

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,082
2,000
Trump ametunga Sheria au maarufu kama Executive order ya kuyadhibiti makampuni ya kutengeneza madawa ya binadamu kushusha bei ya dawa muhimu za binadamu.

Kwa wastani raia wa Marekani analipa zaidi ya 100% au mara 2 ya bei ya dawa kulinganisha na rais wengine wa nchi nyingine zilizoendelea. Mfano raia wa Uingereza ama Ulaya ananunua Panadol kwa Dollar 2, basi rais wa Marekani yeye atainunua dawa hiyo hiyo kwa Dolla 4 au 5.

Makampuni ya madawa Marekani yamekua yakiuza dawa kwa bei ghali sana kulinganisha na mahala popote Duniani. Obama aliahidi kupambana na haya makampuni lakini alishindwa hadi muda wake unamalizika.

Sasa Trump amepitisha sheria inayoyataka makampuni hayo kupunguza bei ya dawa kwa zaidi ya 50%. Makampuni ya madawa yamtuhumu Trump kua anataka kuua ubunifu na ugunduzi wa tiba kwa kushusha bei ya dawa, Trump anasema hakuna kitu kama hicho.

Makampuni ya madawa yameanza kampeni ya kumchafua Trump ashindwe uchaguzi ujao.

SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,219
2,000
Trump hajawahi kuwa mjinga hata siku moja.The man pamoja na madhaifu yake yote ila anaweza kuahidi kitu na akakisimamia.
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,082
2,000
Trump hajawahi kuwa mjinga hata siku moja.The man pamoja na madhaifu yake yote ila anaweza kuahidi kitu na akakisimamia.
Hayo madhaifu yote yanayosemwa ni ya kutengeneza ili mshikaji aonekane hafai.

Unategemea wamiliki wa makampuni ya madawa ambao wamezoea kuwapiga wamarekani kwenye bei ya dawa watamsema vizuri Trump?
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,785
2,000
Makampuni ya madawa yana sababu zao pia za kuuza dawa ghali, wanatumia pesa nyingi sana kwenye research na haziwi funded na serikali, it's like kwenye research amabazo zinakula pesa na nyingine hazifanikiwi .
Ughali wa madawa USA unatokana na fact kuwa nusu ya bei inakwenda kwenye research mpya
 
Na hayo yoote Trump na WH wanayajua i think,and i am sure maamuzi ya kushusha bei by 50% hawajakurupuka hata kidogo,they know kuna some sort of inflation kwenye bei ya dawa.
 
SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,219
2,000
Hayo madhaifu yote yanayosemwa ni ya kutengeneza ili mshikaji aonekane hafai.

Unategemea wamiliki wa makampuni ya madawa ambao wamezoea kuwapiga wamarekani kwenye bei ya dawa watamsema vizuri Trump?
Sio yote wamamzushia japo kweli wanamzushia. Ila na yeye ajaribu kuji distant na tweeter kidogo, asi tweet sana kila saa, watu wanamletea mazoea yasio ya lazima
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,082
2,000
Sio yote wamamzushia japo kweli wanamzushia..Ila na yeye ajaribu kuji distant na tweeter kidogo,asi tweet sana kila saa,watu wanamletea mazoea yasio ya lazima
Twitter ama social media ndio mahala pekee kutumia kupambana na fake news. Isingekua social media ingekua ngumu sana ku-fight back fake stories.

Watu wengi zamani wameumizwa ama kusemwa vibaya na kupelekea kueleweka vibaya kwenye jamii na hizi main stream media na hawakua na namna ya ku-fight back kwa sababu wenye gazeti ndio wanaamua waandike nini au wasiandike.

Hii ndio njia pekee ya kupambana na kutoa taarifa anafanya nini au amefanya nini. Vinginevyo atakua anazushiwa maneno yasiyo na msingi.
 
nooble14

Member
Nov 30, 2019
6
45
Makampuni ya madawa yana sababu zao pia za kuuza dawa ghali, wanatumia pesa nyingi sana kwenye research na haziwi funded na serikali, it's like kwenye research amabazo zinakula pesa na nyingine hazifanikiwi .
Ughali wa madawa USA unatokana na fact kuwa nusu ya bei inakwenda kwenye research mpya

Kama ni hivo basi yanatakiwa kuuza bei juu kwa nchi jirani yanakofanya export . Hapo umechemka mkuu
 
nooble14

Member
Nov 30, 2019
6
45
Sio yote wamamzushia japo kweli wanamzushia..Ila na yeye ajaribu kuji distant na tweeter kidogo,asi tweet sana kila saa,watu wanamletea mazoea yasio ya lazima
Ana-tweets sababu ndio njia pekee anayoweza kuspread taarifa za ukweli akitumia media wanamchafua na kuedit some information go to CNN uonee
 
SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,219
2,000
Ana-tweets sababu ndio njia pekee anayoweza kuspread taarifa za ukweli akitumia media wanamchafua na kuedit some information go to CNN uonee
Yeah,CNN wana edit sana na kufanya mis information,llakini bado ana tweet sana kupita kiasi,labda mimi ndio naona vibaya,..all in all there is a very good side of him ambayo watu wame ignore hawataki kujua wala kuelewa.
 
SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,219
2,000
Twitter ama social media ndio mahala pekee kutumia kupambana na fake news. Isingekua social media ingekua ngumu sana ku-fight back fake stories.

Watu wengi zamani wameumizwa ama kusemwa vibaya na kupelekea kueleweka vibaya kwenye jamii na hizi main stream media na hawakua na namna ya ku-fight back kwa sababu wenye gazeti ndio wanaamua waandike nini au wasiandike.

Hii ndio njia pekee ya kupambana na kutoa taarifa anafanya nini au amefanya nini. Vinginevyo atakua anazushiwa maneno yasiyo na msingi.
New York times and CNN are sh**t medias..
 
pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
4,037
2,000
Makampuni ya madawa yana sababu zao pia za kuuza dawa ghali, wanatumia pesa nyingi sana kwenye research na haziwi funded na serikali, it's like kwenye research amabazo zinakula pesa na nyingine hazifanikiwi .
Ughali wa madawa USA unatokana na fact kuwa nusu ya bei inakwenda kwenye research mpya
Makampuni ya nchi zingine hayafanyi research?
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,626
2,000
nikiona bei za dawa US huwa nashangaa sana. unakuta ni mara ishirini ya huku.
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,785
2,000
Kama ni hivo basi yanatakiwa kuuza bei juu kwa nchi jirani yanakofanya export . Hapo umechemka mkuu
Nchi jirani zipi? Makampuni yanayolalamikiwa na Trump hayatengenezi dawa za kiwango cha kutumia Mimi na wewe , yantengeneza dawa kwa standard zao, Panadol sisi huku tunanujua sh 100 , first world hawatumii Panadol zetu,
Magic Johnson ana HIV huu karibu mwaka wa 30 , angekuwa anatumia Arv tunazoletewa huku , tungekuwa kitambo tushamzika kwa matatizo ya Figo
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,785
2,000
nikiona bei za dawa US huwa nashangaa sana. unakuta ni mara ishirini ya huku.
Watu hawalijui hilo, ndo sababu tunabishana hapa , wanadhan Panadol na Usa utaikuta inauzwa sh 100,
Pharmaceutical industry USA. Ni kama wachimba Tanzanite Mererani wanainvest heavily kwenye research na nyingi huwa zinakula pesa bila return, Siku wakija kuvumbua dawa , wanafidia gharama zote Hadi zile research zilizofeli, ndo sababu dawa ni ghali
Hata hizi dawa za Arv tunazoletewa huku ni za formula ya chini kabisa ili tusurvive , ndio sababu side effects zake ni nyingi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom