sheria

  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa sheria za kumpa mpangaji notice

    Poleni majukumu humu jamvini. Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani? Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Jaji Mkuu Siku ya Sheria: Msongamano wa kesi Mahakama ya Rufani kikwazo cha kupata haki

    Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia. Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu. Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  5. JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
  8. JamiiForums Tanzania Kusoma Diploma/Certificate ya Sheria kwa part-time

    Wakuu habari, hivi inawezekana kusoma Dip/cert ya sheria part time au kama wanavyofanya Open University. Kama inawezekana Ada yake sh ngapi na vyuo vipi vinafanya hivyo.
  9. JamiiForums Tanzania Je, hawa wateule wa Rais ni sheria zetu butu, uzembe au?

    JE, NI SHERIA BUTU, UZEMBE AU NI MAZOEA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nikitazama mchakamchaka wa watumishi pale tu Mkuu wa nchi anapotoa maagizo ninabaki kujiuliza je ni sheria zetu butu, je ni uzembe kwa watu ambao Mh Rais amewaamini kumsaidia kusimamia au ni mazoea ya viongozi wetu kuzoea...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kwa mujibu wa Sheria, viraka vya barabarani vinapaswa kuzibwa ndani ya saa 48

    Najiuliza kama sheria inasema hivi, inakuwaje viraka vingine huwa vinaachwa kwa muda mrefu mpaka vinageuka kuwa mashimo makubwa yasiyopitika.. Mfano mzuri barabara ya Keko ============= Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB)...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ladha ya Mpira wa Miguu ilikuwa zamani ; Sheria zimekuja kuharibu ladha!

    Watu wazima mtakumbuka! Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China! Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai! Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa ukoo! Kipindi hiko mpira ulichezwa kipindi cha mchana baada ya kula chakula cha mchana! Haukukuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kuweka sheria ya kuwabana wasiovaa maboya kwenye Vyombo vya Majini

    Sheria kubana wasiovaa maboya yaja. SERIKALI iko mbioni kutunga sheria itakayowaadhibu watu watakaopanda vyombo vya majini hususani mitumbwi bila kuvaa boya wakiwa baharini au ziwa lolote nchini. Akizungumza wakati akitoa elimu kwa wananchi mkoani hapa katika Mwalo wa Ujaluoni, Lunazi, Kata ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Magufuli ila kwa sheria hii ya fao la kujitoa, nakosa ujasiri wa kusema " MITANO TENA" kwake

    Kwa wale tunaofanya kazi sekta Binafsi tunafahamu ni kwa kiasi gani sheria hii inatumika Kama kitanzi katika maisha yetu kwani wengi wetu hatuna mikataba ya kudumu hivyo Ni wachache wenye uhakika wa kufanya kazi Mpaka wafikishe umri wa miaka 60 ambao ndo umri wa kustaafu kwa mjibu wa sheria...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  15. JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyombo vya Habari kuanza kutumika Januari 2022

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani. Wakati akizingumza na na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Sheria za urejeshaji mikopo ya Elimu ya Juu HESLB

    Soma hapa sheria ya urejeshaji mikopo ya HESLB.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye historia ya nchi yetu kuna mbunge amewahi peleka muswada na ukawa Sheria? Mwananchi wa kawaida anaweza andaa muswada akapeleka Bungeni?

    Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria. Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Mwangosi: Hakuna kitu kinachoitwa kodi kubwa kwenye sheria za kodi

    Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro, Gabriel Mwangosi amesema hakuna kitu kinachoitwa ‘Kodi Kubwa’ kwenye sheria za kodi bali kodi inayostahili. Ameyasema hayo baada ya wamiliki wa shule mkoani Kilimanjaro kulalamikia makadiri makubwa ya kodi ambapo shule nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kuvifunga vituo vya Daycare vinavyoendeshwa kinyume na Sheria

    Vituo vya kulelea watoto (Daycare) vinavyoendeshwa bila kibali na visivyokuwa na sifa huenda vikafika mwisho baada ya Serikali kuanza kuvifunga. Wakati Serikali ikitangaza kuchukua hatia hiyo, halmashauri ya wilaya ya Ubungo imetangaza kuanza kuvifunga vituo hivyo kuanzia Januari 21, 2021...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…