sheria

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

    Habari waungwana. Kuna jamaa alinipigia simu kuwa kuna kampuni inatafuta mtu wa nafasi fulani. Basi nikamwambia wape namba ya simu. Nikapigiwa simu kwamba nitume Cv, nikawatumia cv halafu ikawa kimya karibu mwezi basi mimi ikawa nimeipotezea tu hiyo kazi. Baadae nikapigiwa simu na kufanyiwa...
  2. Wizara Katiba Na Sheria

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo. Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge kujadili Muswada wa marekebisho ya sheria ya makosa Mtandaoni

    Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country. Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuhusudu mabadiliko, siyo kila kitu kinapaswa kubadilishwa

    Mabadiliko yamefungamanishwa na kila kitu mfano miamba hubadilika, siasa hubadilika itikadi hubadilika, teknolojia hubadilika .... Binadamu ndiye kiumbe wa pekee ambaye ameumbiwa "UTASHI" ambao unaomtofautisha na viumbe wengine wote kwani unamuwezesha siyo tu kuwa muhanga wa mabadiliko bali pia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa. Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Waziri wa Sheria atimuliwa

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemfukuza kazi Waziri wa Sheria ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu, Johnston Busingye Amefukuzwa kazi kwa kufanya kazi kwa kufuata matakwa yake badala ya kufuata sera za Serikali
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India kutunga sheria kubana zaidi mitandao ya kijamii baada ya kutunishiana misuli na Twitter

    Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama wa taifa, serikali ya India sasa inatunga mswada utakaolazimisha mitandao ya kijamii kukubaliana na...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

    BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii. Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards. Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni. Keep my words
  11. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Sheria ya faragha kwa ndege zisizokuwa na rubani "DRONES"

    Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES. Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kubadili sheria kuwa kwa Kiswahili hakuna budi kwenda sambamba na kubadili mitaala iwe ya Kiswahili

    Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele. Kitu cha kuzingatia katika maamuzi haya ni Je, Taifa limejiandaa kikamiifu kutunga sheria na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

    Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba. Source TBC Maendeleo hayana vyama...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba: Itungwe sheria ya kuzuia watu kunywa pombe muda wa kazi

    Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani. Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni fedheha kuwa na watunga sheria wanaolalamikia ubovu wa sheria

    Kinachoendelea Dodoma sicho kinachopaswa kufanywa na wabunge watokanao na wananchi. Wabunge wengi waliopewa nafasi yakusimama bungeni wamejikuta wanasifia, wamelalamika na kuomba. Wengi wa wabunge hasa jinsia ya like wamejikita zaidi kusifia zaidi yakueleza wananchi wamewatuma nini. Wabunge...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna sheria juu ya hizi pikipiki zinazopiga kelele kupita kiasi?

    Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana. Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa. Hivi...
  17. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

    Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote. Leo hii...
  18. Limbweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  19. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa sheria za kumpa mpangaji notice

    Poleni majukumu humu jamvini. Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani? Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Jaji Mkuu Siku ya Sheria: Msongamano wa kesi Mahakama ya Rufani kikwazo cha kupata haki

    Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia. Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu. Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
Back
Top Bottom