Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
0001-15384310268_20210111_073853_0000.png

Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13)

Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria au kwa mujibu wa sheria (Ibara ya 13)

#Haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu, na pia haki ya kukata rufaa au kupata nafuu nyingine ya kisheria kutokana na maamuzi ya mahakama au chombo hicho kinginecho kinachohusika (Ibara ya 13)

Marufuku kwa mtu yeyote kunyang’anywa mali yake kwa madhumuni ya kuitaifisha au madhumuni mengineyo bila ya idhini ya #Sheria ambayo inaweka masharti ya kutoa fidia inayostahili (Ibara ya 24)

#Katiba #Tanzania #GoodGovernance #JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom