Sheria za urejeshaji mikopo ya Elimu ya Juu HESLB

Sheria za urejeshaji mikopo ya Elimu ya Juu HESLB

Huu umeshakua mkopo wa Maisha sasa. Bodi ya mikopo ONDOENI retention fee ya 6%. Hii inafanya mkopo usilipike.
 
Yaani unapunguza deni,mwaka mpya wa fedha ukiwadia unapigwa top up 6% tena.

Yaani hili deni hadi unastaafu liko nawe!

So sad!
Tisha liwa vichwa na hii serikali yetu ya wanyonge,Kama mimi nishakubali kua Ni deni la maisha Mana kazi zenyewe napiga Kama kibarua kwa siku Sasa sijui itakuaje ajira zenyewe ishakua zari la mentali h[emoji23][emoji1787][emoji1787]kweli wanasema kua uyaone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom