sheria

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Flexibility siyo kung'ang'ana na Sheria

    Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria imesema hivyo. Ukweli Sheria sometime inaondoa utu, ubinadamu na kwenda na muda. Lakini pia sheria...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

    Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wamachinga bado ni mtaji wa Wanasiasa au waanze kufuata sheria bila shuruti?

    Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM. Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

    MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini. Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya soka iliyofutwa ambayo unatamani ingeendelea kutumika?

    Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena. Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu ya RC Chalamila kushupalia ulevi kinyume na sheria

  9. JamiiForums Tanzania Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali haijaruhusu Kilimo cha bangi

    Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rweshabura, ameyasema hayo leo mbele ya Wahariri wa vyimbo vya habari jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango kazi kwa ajili ya kutambua mchango wa wanahabari katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu kuzuia na kipambana na dawa za...
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Sheria ya kutaifisha ng'ombe wanaoingia hifadhini ni dhuluma. Ilipita tukiwa tumelala?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma. Amesema, "Hii Sheria sijui ilipita wapi, tulikuwa tumelala au ilikuaje. Ile kwamba Ng'ombe wakiingia kwenye Hifadhi wanataifishwa wote, hapana! Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

    Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
  14. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira: Sheria za kugharamia matunzo ya watoto zina changamoto

    Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba. Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kisheria juu ya uuzaji na ununuzi wa nyumba

    SCENARIO [emoji1484] (A). Tuseme ni Ayuoub( ni mmliki wa nyumba) . (S).Tuseme ni Salim ( mteja wa nyumba ya Ayoub 2014). (P).Tuseme ni peter pia nae ni ( mteja wa nyumba ya ayoub 2019 ). Ayoub ni mmliki wa nyumba ndani ya manisipa iliopo ndani ya jiji X .mwaka 2014 alipokea kiasi cha shilingi...
  17. JamiiForums Tanzania "Upole si udhaifu" Mungu anaona Upole sifa muhimu sana

    Baadhi ya watu wanaamini upole ni udhaifu. Upole ni nini? Upole ni sifa muhimu inayomtafsiri mtu anaechukulia mambo kwa uzito bila kukurupuka. Mpenda haki, asiependa lawama. Mungu mwenyewe ni mpole ndio maana hajachukua hatua ya kuwaondoa waovu mapema,amewapa muda wa kutafakari. Musa alikua...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

    Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi iili kulinda faragha na taarifa za mwananchi. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo...
  19. JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…