Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,027
144,382
Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu.

Hivyo, ningependa kujua uhaini ni kitu gani hasa kwa mujibu wa sheria husika? na zaidi maneno "kupindua serikali" yanatasiriwa vipi katika sheria za nchi hii.

Kwa kuanza, tunaomba anaeweza kututuwekea sheria nzima ya uhaini afanye hivyo ili tupate walau mwanga uhaini ni kitu gani na zaid ili uhaini utimie au uhesabike ni uhaini , vitendo au matamshi gani na katika mazingira gani yanawzeza ku-fit definition ya uhaini na kumtia mtu hatiani/matatani.

Naamini kupitia kesi hii, tutajifunza mengi kama kwenye ile kesi ya ugaidi aliyopewa Freeman Mbowe.
 
Screenshot_20230816-130532.jpg

Kama ni vita mbona hatujatangaziwa au nilizima data.
 
Nimesoma, sasa narudi kwako, ni kosa gani watuumiwa wamelifanya mpaka kuitwa mahaini?
Soma kifungu cha 39 (2) (b), (c) na (d)

Chagua mwenyewe maana kwa maneno waliyoyaongea huko club house yanaingia kwenye vifungu vyote hivyo
 
Back
Top Bottom