Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo.

Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni kosa dogo na lile ambalo huadhibiwa kwa adhabu kubwa huwa ni kosa kubwa.

1. NI SHERIA IPI HUELEZA MAKOSA YA JINAI.
Sheria zinazofafanua makosa ya jinai zipo nyingi. Hakuna sheria moja katika makosa ya jinai. Hata hivyo sheria kuu katika makosa ya jinai ipo. Ni sheria inayojulikana kama kanuni za adhabu( penal code). Hii ni sheria kuu katika makosa ya jinai.

Ni sheria inayoeleza karibia makosa yote ya jinai. Mbali na sheria hiyo pia zipo sheria nyingine kama za kuzuia na kupambana na rushwa, sheria ya uhujumu uchumi, sheria ya ugaidi na nyinginezo. Hizi nazo hueleza makosa ya jinai.

Tofauti kubwa kati ya sheria hizi na ile ya kanuni za adhabu ni kuwa hizi sheria nyinginezo hueleza makosa rasmi ya jinai. Kwa mfano sheria ya ugaidi itaeleza mambo ya ugaidi tu na si vinginevyo, sheria ya uhujumu uchumi itaeleza makosa yanayotokana na uchumi tu na si vinginevyo, sheria ya utakatishaji fedha itaeleza utakatishaji fedha tu na si vinginevyo.

Wakati sheria ya kanuni za adhabu ndani mwake utakuta makosa tofauti tofauti ya jinai. Utakuta makosa ambayo hayafanani na yasiyokuwa na uhusiano.

Utakuta kuhusu kubaka, kuiba, kupigana, kuua, kuharibu mali, rushwa, kughushi , uhaini na mengine mengi. Kwahiyo kwa mtu anayehitaji kuyajua makosa ya jinai basi na asome sheria ya kanuni za adhabu.

2. UKIFANYA HAYA UTAKUWA UMETENDA UHAINI.
( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.

3. NI IPI ADHABU YA KOSA LA UHAINI.
Vifungu vya 39 na 40 vya kanuni za adhabu ambavyo vimeeleza ni matendo gani yanaweza kuitwa uhaini vimeeleza pia adhabu ya matendo hayo. Vimeeleza kuwa adhabu ya kukutwa na hatia ya uhaini ni kifo. Uhaini ni kati ya makosa machache sana ambayo adhabu yake ni kifo.

Kwahiyo kwa namna yoyote ukijihusisha na tendo lolote kati ya matendo yaliyotajwa hapo juu ndipo utahesabika umetenda uhaini na adhabu yake ni kifo ikiwa itathibitika mahakamani. Kila kilichoelezwa hapo juu katika A – F ni tafsiri halisi ya uhaini.

Andiko la BASHIR YAKUB
 
Elimu murua kabisa, ubarikiwe sana.
Swali chokonozi: kwanini katika maelezo yako umeamua kuongelea kiti cha Rais hasa katika kipindi hiki ambacho mabakabaka wa nchi za huko Afrika Magharib wanachukua uSamia!?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Waislam bhana
 
Wanasheria wanakosa utulivu hasa katika kufikiri mawanda ya maudhui nimesoma hivyo vipengele ni kama wanafanya kazi under pressure na bila watu makini juu yao ni bora liende tu. Long way to go
 
hujazungumzia "overt act" kwanini. na wakati ni element muhimu sana kwenye kosa la uhaini.

Yesu ni Mwokozi
 
Wanasheria wanakosa utulivu hasa katika kufikiri mawanda ya maudhui nimesoma hivyo vipengele ni kama wanafanya kazi under pressure na bila watu makini juu yao ni bora liende tu. Long way to go
ameandika utopolo, hiyo Section 39 haiko hivyo. he is very biased!

big nonsense
 
Watu wanachambua sheria mm mchana huu napiga punyeto.siko serious kabisa
 
Back
Top Bottom