serikali

  1. Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  2. Pendekezo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini.. Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo Wabunge Mawaziri Makatibu na Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini.. Kwa...
  3. Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! 2/ Kwa kusema...
  4. I

    Kuanzisha Biashara Mpya (ofa ya serikali)

    Katika kuongeza ajira katika sekta binafsi na serikali kuwekeza ili kupata kodi baadaye, napenda kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kusaidia watanzania kukuza uchumi wao kwa kupendekeza mambo yafuatayo: 1. Serikali iruhusu mtu yoyote kuanzisha biashara yoyote halali na kupewa tax break kwa...
  5. GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  6. JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

    Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia. Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe. Sababu. Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
  7. Wadau mbalimbali watoa maoni kuhusu Bunge la 11 lilivyokuwa. Wengine wasema lilikiuka sana Katiba na kuibeba Serikali badala ya wananchi. Wewe je?

    Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
  8. Serikali yaongeza makato ya kununua umeme kimya kimya mpaka 2%

    Habari wadau wa JF, Serikali yetu inayojali wanyonge imeongeza Tozo hadi kufikia 2% ukinunua umeme kwa kutumia mitandao ya simu na bank. Tatizo sio kuongeza ila wamefanya kimya kimya bila kutoa taarifa kuhusu ongezeko hilo lisilo na kichwa wala miguu. Serikali nyingine kipindi hiki cha korona...
  9. M

    Budget ya Serikali ilivyouacha Utalii hoi

    Budget ya Serikali iliyopitishwa na Wabunge kwa asilimia 98 imeacha Sekta ya Utalii hoi. Janga la Corona limeharibu sekta ya utalii zaidi kuliko sekta zingine. Sasa sijui waziri ndio hajaongea na wadau na kuwasilisha maoni au sijui tatizo ni nini? Jambo la muhimu inatakiwa ni kufufua utalii kwa...
  10. J

    Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  11. Tusitegemee uchaguzi huru na haki, kama watendaji wa serikali ni makada wa CCM wakitarajia kuja kugombea au kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM

    Sasa watumishi kama hawa ndio mtarajie kutenda haki na usawa?
  12. NGO's vs Serikali vs Biashara: Nani anaweza kutatua changamoto za kijamii?

    Coronavirus limekuwa ni janga kubwa la kijamii. Lakini, kwa bahati mbaya, sio janga pekee la kijamii ambalo dunia inalikabili kwa mwaka huu 2020. Mabadiliko ya hali ya hewa. Kuongezeka kwa 'gap' la walionacho na wasionacho. Ongezeko kubwa la watu. Mgawanyo usio sawa wa matumizi ya rasilimali...
  13. M

    Serikali tafadhalini wasaidieni abiria wa daladala wa Dar es salaam

    Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali. Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
  14. B

    Serikali sahihi ni ipi kati ya hizi

    1. Serikali ya John Joseph Pombe Magufuli - Ni rais wa nchi hana pesa za mfukoni za kuendesha Nchi si mali yake binafsi... 2. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi - Ni Serikali ya Chama Kilichopewa Dhamana ya kutawala kwa wakati huu 3. Serikali ya Wananchi wa Tanzania - Wanalipa Kodi na kuhakikisha...
  15. Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
  16. ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Habarini wakuu, nimefanikiwa kufanya utafiti ambao ulilenga kuchambua taarifa mbali mbali za kiuchumi za serikali na hususani kabisa zilizolenga taarifa ya kifedha ya serikali (Financial statements) kuanzia mwaka wa fedha wa June 2016 mpaka June 2019. Takwimu nilizotumia kwenye uchambuzi...
  17. Serikali acheni siasa watu tunahitaji vitambulisho

    .
  18. Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona. Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari. Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
  19. Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini. Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona. Ameongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…