serikali

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

    Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa. Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure. Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

    Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  5. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  6. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kesho mambo kuwekwa hadharani miradi yote iliyotekelezwa na Serikali "CCM imejipanga"

    Kesho mambo kuwekwa hadharani miradi yote iliyotekelezwa na Serikali "CCM imejipanga" Kamati ya siasa Wilaya ya Nyamagana, kesho itaanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 -2020. Kamati hiyo kesho itakagua...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 na sekta binafsi, kuna tusilolijua

    Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa. Kwa upande wa sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo inayopaswa kutumia hiyo miundo mbinu hali siyo nzuri. Kwa...
  8. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaamuru Wachina wanne waliomchapa Mkenya warudishwe kwao

    Raia wanne wa Uchina waliokamatwa na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao baada ya amri iliyotolewa na Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya Fred Matiang'i. Agizo hilo lilisainiwa na Matiang'i Jumatano baada ya mahakama kuruhusu polisi kuwashikilia...
  9. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

    Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao. Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata...
  10. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kukwepa jukumu la kuwaongoza wananchi namna bora ya kuishi maisha mazuri

    Juzi nilisikia kiongozi wetu akiwaambia wananchi kuwa "wale wanaojenga mabondeni wanachagua wenyewe na hivyo taifa halitawaonea huruma". Mkuu mwingine kabla ya hapo alisikika huko Lindi akituambia wanaokumbwa na mafuriko wanajifurikisha. Dare es salaam miaka ya nyuma kidogo tulishuhudia watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Serikali na wabunge wa CCM mliamua kutukatili wafanyakazi suala la mafao?

    Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa. NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

    Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, ni rai yangu kuwa Rais amteue Msemaji Mkuu wa Serikali mpya ili Dkt. Abbas apate...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Pengo la mtu kama Balozi Sefue linaonekana Serikali hii

    Pamoja na kwamba hakuwa mwanasiasa Sefue alikuwa mtu kama vile Consultant kwenye serikali ya Kikwete. Kwanza hakuwa mbunge, hakuwa waziri lakini aliziba pengo kwenye sehemu muhimu za kitaifa. Kwanza alikuwa ni mtu ambaye anajua biashara za kimataifa, alikuwa balozi aliyebobea, alijua miradi...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 43 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Serikali kuanza kutoa Leseni za bucha za nyama ya wanyamapori hivi karibuni

    Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla amesema Serikali imebadili sheria ya wanyamapori na sasa wananchi wataruhusiwa kufungua bucha za nyama za porini. Kigwangalla amesema Serikali itatoa leseni za mashamba ya wanyamapori ( ranchi) na wamiliki wa mashamba hayo wataruhusiwa kukata leseni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilimahewa Wazo anusurika kupigwa na wapiga kura wake. Akimbilia karandinga la Polisi kuokoa maisha yake

    Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi. Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa. Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwekezaji mkubwa wa kimkakati unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano utaongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo ya watu.

    Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiwaambie wachungaji waponyaji wafungue ofisi hospitalini ili kusaidia Serikali matibabu

    Kama nilivyosema hapo juu, Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa. Hii itasaidia kufikisha huduma kwa...
Back
Top Bottom