serikali

  1. GE2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

    CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali. CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna...
  2. Robot lapewa Uraia na Serikali ya Saudi Arabia

    Wakati watu huhangaika kupata Uraia Serikali ya Saudi Arabia imelipa Uraia li Robot linalojulikana kama Sofia. Hilo hapo
  3. Serikali: Familia ya Majuto na Kanumba wameshalipwa fedha walizokuwa wanadai kutokana na kazi zao walipokuwa hai

    Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi...
  4. M

    Mnachokifanya MTUWASA ni kuhujumu kazi bora ya Serikali awamu ya tano

    Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na...
  5. M

    Shura ya Maimamu yautambua waraka uliosomwa na sheikh Ponda kuwa ni waraka halali wa Taasisi hiyo

    Siku tatu baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa Katibu wa Shura ya Maimamu nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, hatima ya kupata dhamana yake bado haijulikani, amesema msemaji wa Shura ya Maimamu. Sheikh Ponda alikamatwa siku ya Jumapili baada yakuzungumza na waandishi wa habari juu ya...
  6. Janga la mafuriko Ziwa Victoria: Mbona Serikali iko kimya?

    Heavy Rains, Human Activity, and Rising Waters at Lake Victoria Water levels in Africa’s largest lake have risen over a meter since last fall and continue to increase as land use changes and heavy rains enhance the flow. Heavy Rains, Human Activity, and Rising Waters at Lake Victoria - Eos...
  7. Serikali: Mechi ya Simba na Yanga imeonesha elimu zaidi bado inahitajika kuhusu CoronaVirus

    SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya virusi vya corona viwanjani. Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
  8. Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi Habari za leo wa kuu, Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa. Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi 1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani 2. Gesi asilia inatumika...
  9. Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  10. Ni huduma gani uliyopata kutoka Taasisi ya Umma/Binafsi kinyume na matarajio ikakustajabisha?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka jana, Ndugu yangu mmoja alikuwa amemaliza kidato cha sita na alikuwa huko sitimbi. Akanipigia simu ili nimsaidie upatikanaji wa cheti chake cha kuzaliwa ili aombe mkopo baada ya matokeo kutoka kama vigezo vilivyokuwa vimeainishwa. Nikawazamia RITA, nikajaza fomu zao kwa...
  11. Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

    Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi Wanasheria...
  12. B

    Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

    11 Julai 2020 Dodoma, Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma Imewekwa Tarehe: July 10th, 2020 Serikali leo imetia saini mikataba miwili ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa Barabara ya lami ya njia nne ya Mzunguko (Outer Ring Road) ndani ya...
  13. Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

    Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa. Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka. Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi...
  14. Kuvaa barakoa kwenye Ofisi za Serikali lazima?

    Habari Wanajamvi, Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe...
  15. T

    Serikali iajiri walimu wa sekondari na msingi, hali ni tete mashuleni

    Kwa heshima na taadhima naomba kuhufahamisha umma changamoto mbalimbali tunazopitia mashuleni nahisi kama serikali haijui au na kama inajua na imeamua kukaa kimya hali mashuleni mbaya sasa hivi vipindi vinamalizika mashuleni saa 11 mpaka 12. Kwa hiyo mwalimu au waalimu tuna toil kinyama bora...
  16. Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

    Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
  17. Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

    Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu...
  18. R

    Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
  19. Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  20. L

    Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…