Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?