Mnachokifanya MTUWASA ni kuhujumu kazi bora ya Serikali awamu ya tano

mahwelu

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
322
252
Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na mashine zetu yanapelekwa mtwara mjini na kutubagua wenye mradi.... Hapa ninapoandika hatujapata maji kwa takriban wiki tatu na ukipiga simu mtuwasa wanatujibu majibu ya dharau kwa kudhani sisi ni wajinga wanakijiji...

Kama hamkufurahia raisi kuamua hivi, huu sio muda muafaka wa kumhujumu!!!
 
Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana.
Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na mashine zetu yanapelekwa mtwara mjini na kutubagua wenye mradi....

Kama hamkufurahia raisi kuamua hivi, huu sio muda muafaka wa kumhujumu!!!
Hakuna kazi bora hapa ni utopolo mtupu!
 
Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na mashine zetu yanapelekwa mtwara mjini na kutubagua wenye mradi.... Hapa ninapoandika hatujapata maji kwa takriban wiki tatu na ukipiga simu mtuwasa wanatujibu majibu ya dharau kwa kudhani sisi ni wajinga wanakijiji...

Kama hamkufurahia raisi kuamua hivi, huu sio muda muafaka wa kumhujumu!!!

Gas,mbaazi,korosho na ufuta wameharibu Mtuwasa? Amka ujitambue wewe.
 
Amka kaka,Nani anakwamisha juhudi,kwani ukisema tu wanajiamisha maendeleo hi ueleweki Hadi useme juhudi za awamu ya 5.?Mtakufa masikini huko kwa kuchagua chama chakavu
 
===
Achana na siasa zako wananchi hawapaswi kusumbuka kisa s1asa wana-agenda ya siri

Jeshi la kusomba korosho lililetwa na Mungu? Miradi ya gas imesimamishwa na Mungu? Hayo maji yenyewe Mtuwasa hawana pump ya maana. Mimi naishi Shangani hapa tunakaa wiki mbili maji hayatoki.

Kwa taarifa yako siasa chafu ya Magufuli ndiyo imesababisha tuwe na maisha magumu huku kusini na Tanzania mzima. Amka ujitambue wewe.
 
Back
Top Bottom