serikali

  1. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni Kutumiwa na GMO, Tamaa za Umaarufu au ni Kutosoma Ripoti Mbalimbali

    Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko. Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei. Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula. Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa KIA sasa ni mali ya Serikali kwa 100%

    Waziri wa ujenzi mh Kamwelwe amesema kwa sasa Serikali inaumiliki uwanja wa KIA kwa asilimia 100 baada ya kuwalipa wazungu waliokuwepo kiasi cha dola za Marekani 5.6 milioni. Kamwelwe amesema kwa sasa bodi ya uwanja huo ni ya wazalendo watupu na tayari wameanza kutoa gawio Serikalini na kwamba...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yakata rufaa kupinga hukumu ya Jamal Malinzi

    Serikali imewasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama Kuu, kupinga hukumu na adhabu iliyotolewa na Mahakama ya Kisutu, dhidi ya aliyekuwa rais wa zamani wa TFF, Jamal Malinzi na katibu wake, Celestine Mwesigwa ==== UPANDE wa Mashtaka umewasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama Kuu, kupinga hukumu na...
  4. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto anatukana Serikali nzima na anaachwa tu?

    Mara kadhaa Zitto amekuwa akikejeli na kutukana serikali ya awamu ya tano tena kwa maneno ya kebehi na dharau bila uoga wowote wakati akijua kuwa serikali ni pamoja na sisi wananchi wote wa nchi hii. Maneno yake maarufu anayotumia kuitukana serikali na nchi kwa ujumla ni "mazwazwa" na...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

    Mh Zitto amenena. Mimi nimemuelewa. Watanzania tumemuelewa. Walengwa mjitafakari!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

    Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5. Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

    Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24 Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi. Nilikuwa Nigeria niliingia saa...
  8. rr4

    JamiiForums Tanzania Nani ameua kiwanda cha Rotiana wilayani Simanjiro? Serikali ikifufue

    Kiwanda hiki kilikuwa kikubwa sana na kiliajiri direct na indirect zaidi ya watu 2000. Kilikuwa kikisindika maziwa, nyama na vitu kama vile cheese. Wamasai walikuwa wakiuza ng'ombe na maziwa na kuwa na kipato cha uhakika. Leo chali. Tafadhali serikali sikivu ya Mh. Rais Magufuli, kiwanda hiki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  10. msemakweli2

    JamiiForums Tanzania Tunaokaa watumishi wa serikali Dodoma chumba kimoja na godoro tukutane hapa

    Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi. Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tume ya uchaguzi kuvuka lengo la uandikishaji wapiga kura CCM kutoa semina elekezi kwa viongozi wake wa serikali za mitaa

    Mambo mawili makubwa yamejitokeza hivi karibuni kwanza CCM imeshinda uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kishindo, pili Tume ya taifa ya uchaguzi imevuka lengo kwa kuandikisha wapiga kura wengi kuliko ilivyotarajiwa. Hii maana yake ni kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 utakuwa na wapiga kura zaidi ya...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge magereza yenye kazi ngumu kwa wafungwa wanaorudia makosa wakiachiwa

    Kuna wafungwa huona maisha ya gerezani raha sababu mengi hayana kazi ngumu. Nashauri kwa wale watenda makosa ambao wakifungwa wakiachiwa wanarudia makosa wawe na magereza yao maalum yenye suluba za kazi za uhakika. Hivi gereza la Maweni au magereza ya kupasua kokoto hayawezi wafaa? Serikali...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Binafsi naamini kuwa chama cha siasa ni taasisi. Naamini hivyo pamoja na kutowahi maishani mwangu kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko. Kama taasisi, chama hujiendesha kwa gharama. Kuna kuwalipa waajiriwa wa chama, kugharimia shughuli za kila siku za chama,kugharimia...
  14. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa. #DevelopmentIsWoman #MaendeleoNiMwanamke #NoHateNoFear
  15. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Makampuni mengine 58 yatoa gawio Serikalini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philipo Mpango leo amepokea gawio na ziada nyingine kwa Makampuni 58 ambayo yalikuwa hayajatoa gawio kwa serikali ambapo Rais Magufuli alitoa siku sitini (60) wawe wametoa gawio. Pia Waziri Mpango ameagiza Makampuni na taasisi ambazo bado hazijatoa gawio la...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawezaje kuona ni sawa mtu kukaa mahabusu tangu Juni 2017 hadi Desemba 2019 na kuachiwa huru na Mahakama kuwa hana hatia?

    Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi. Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
  18. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali yafurahia Brela kusajili kampuni kimtandao

    SERIKALI imeridhishwa na utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) kusimamia usajili wa kampuni na majina ya biashara kwa mtandao na inaandaa sheria kuboresha mazingira ya biashara. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezekezaji), Angellah Kairuki alisema hayo katika...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kenya Mahakama ya mafisadi ipo kazini, Tanzania tunafeli wapi?

    Niko naangalia mubashara mwenendo wa kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana Sonko wa jiji la Nairobi na wenzake wanaotuhumiwa kufisadi fedha za serikali kwenye manunuzi ya umma. Tukio hili linarushwa live kupitia Citizen Tv. Hapa Tanzania tunayo mahakama ya mafisadi lakini sijaisikia ikiendesha...
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
Back
Top Bottom