Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
Serikali iendeshe inchi kwa usawa. Isipendelee. Najua hakuna usawa kamili ila angalau kua na usawa kiasi.
Hii serikali inaonekana iko selective, baadhi ya makundi ya watu inayapenda wengine hawapendwi.
Tukianza na watumishi wa umma. Toka serikali hii imeingia haijawahi kuongeza mishahara wala...
Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu.
Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
Ninaombi kwenye sheria zetu za uchaguzi kipengele kimoja tu kibadilishwe au kiongezwe.
Kwa maoni yangu ningependa iwe hivi Mbunge yeyote " Akijihudhuru au kuhama chama" basi aliyekuwa anafuatia kwenye kura wakati wa uchaguzi Mkuu yaani wa pili aapishwe ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
Sote tuna fahamu nyara za serikali ni nini, Je kuna sheria inayo mruhusu mtu yeyote yule kumiliki nyara za serikali? achilia mbali leseni ya uindaji ili uwinde wanyama, namaanisha upewe kibali uwamiliki mfano ndege kama TAUSI uwe nao nyumbani kwako uwafuge, sijawahi sikia popote pale kuwa kuna...
SERIKALI imziunganisha benki za TPB Bank Plc pamoja na TIB Corporate ili kuimarisha utendajikazi wa benki hizo na kuhimiri ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Msajili wa Hazina, Athuman Mbutuka alipokuwa akizungumza na vyombo vya Habari...
Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.
Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
Naona CHADEMA haikufanya sawa kumpongeza mh Rais Magufuli kwa kujenga Ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga Dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile Ikulu...
Nazungumzia mapunjo ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wakiwemo wahudumu wa afya na walimu.
Fomu za kudai mapunjo hayo zilijazwa tangu mwezi January 2020 lakini hadi leo hii hakuna taarifa yoyote juu ya kulipwa.
Hii hali inawakera watumishi waliopunjwa
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo.
Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale
Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha...
Tukijilinganisha sisi na wakenya ktk maeneo mengi tunakuta wakenya wametutangulia kwa kuonyesha dhamira njema katika kila jambo.
Mathalan tukilinganisha katiba ya Kenya na ya Tanzania utagundua dhamira njema iliopo katik katiba ya Kenya katika kuwaunganisha raia wake. Huku ya ya Tanzania...
Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje.
Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali.
Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko.
Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia...
Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa ukiiangalia TZ katika kilomita zake za Mraba ni zaidi ya 900,000, hapo kilomita za Zenji bado hazijaingia , ukiwa unafanya safari unakutana na mapori mengi sana , mikoa mingine unakuta...
Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD.
Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.