Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine...
Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka
Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Ni maoni ya wananchi wanyonge sehemu mbalimbali nchini wanaofurahishwa na jinsi wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoonekana kwenye TV wakifoka kwa hasira huku wameambatana na askari polisi wenye silaha kuwakamata vibaraka wa mabeberu wanaouza sukari kwa shillingi 4000 hadi 7000(Chanika) kwa kilo ili...
Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea.
Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza kuajiri madaktari wapya 610, watakaokwenda kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, pamoja na kusaidia kukabiliana na janga la Virusi vya Corona.
Akitoa taarifa mbele ya Waandishi wa...
Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME.
Angalia nakala ambatanishwa.
TANZANIA
Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".
Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
Naibu waziri wa maji Mh. Awesu amezitaka mamlaka za maji kuwarejeshea Huduma wale waliokatiwa na kisha kuwawekea utaratibu wa kulipa polepole.
Mh Awesu amesema wakati huu wa janga hili la Corona kila mtu anapaswa kuwa na maji ya uhakika ili kuweza kukabiliana nalo.
Source: Clouds tv!
=====...
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura..
Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.
Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
Joseph Selasini ni mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Hivi karibuni wakati akitoa mchango wake bungeni,Mhe.Selasini aliwakumbusha wapinzani na watanzania kuwa Shabaha ya kuwepo kwa mageuzi siyo kupinga Kila kitu au kubeza kila...
1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa
2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa
3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo...
Huo ndio ushauri wangu, wasanii, kwa makundi na aina ya sanaa zao, wapewe fedha waandae matangazo, kama ni TV, basi wanaweza kuwa hata kumi kwa tangazo, matangazo yakawa mengi,vituo vya redio na TV na magazeti, serikali ikadondosha kwa hata milioni 500-700
#stimulus package
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.