Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa mh Mwamoto amesema hali bungeni ni tete na ya kutia wasiwasi kufuatia vifo mfululizo vya wabunge.
Mwamoto amehofu kuwa ndani ya wiki mbili wabunge watatu wamefariki na hawajui anayefuatia ni nani hivyo ameiomba serikali ifike bungeni na kuwapima Corona...
Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi
Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu.
Naishauri serikali
Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kwa miaka minne imekuwa ikiwadanganya wafanyakazi juu ya kuwaongeza mishahara Yao.
Wakati wanapiga kampeni CCM na Rais Magufuli waliwaahidi wafanyakazi kwamba watawaongeza mishahara Yao lakini kila mwaka Rais Magufuliakialikwa kwenye sherehe za meimosi...
Watanzania wengi sasa wanaanza kuona, wengi walikua wamevaa miwani ya mbao hapo kabla ila sasa mbao zimeoza wameanza kuona na kujua serikali ya wanyonge ni serikali ya namna gani.
Serikali ya wanyonge ambayo imejaa majigambo, serikali inayonunua ndege cash money young money, inajenga...
Wale wanaomfahamu Zephania Musendo, alikuwa Mwanahabari Mwandamizi na Mhariri mkuu TSN na mwishoni nadhani alikuwa MCT.
Amefariki dunia wiki iliyopita Kawe Dar Es Salaam na kuzikwa na Serikali,
Mei 17, mwaka 2005 alifungwa Miaka Mitano katika gereza la Keko kwa kupatikana na hatia ya kuomba na...
Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli...
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni...
Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
WanaJF,
Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi.
Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
Siku za hivi karibuni serikali imeonekana kuacha kuweka msisitizo juu ya mapambano dhidi ya Korona, Si waziri mkuu wala Waziri wa Afya wala mganga mkuu wa serikali wameonekana kuja mbele kuendelea kuukumbusha umma kuwa tuna hali ya hatari. Hawatoi tena updates ya waliopona, walioambukizwa, vifo...
itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu Idara ya Uhamiaji nchini Zambia kuwazuia madereva wa IT katika mpaka wa Tunduma Mkoani Songwe kuingia nchini Zambia, ikiwa ni katika kujikinga na Virusi vya Corona.
Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Juma Said Irando ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa...
Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani
Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop humiliating us
Wastani wa waandamani elfu moja walimiminika kuandamana kupinga kuendelea kufungiwa ndani...
BARAZA la Mitihani la Tanzania, katika, litafanya upimaji wa kitaifa na kuendesha mitihani kwa watahiniwa wa madarasa mbalimbali, kikiwemo kidato cha sita chenye watahiniwa 90,182 katika mwaka wa fedha 2020/21.
Pia katika mwaka huo, Baraza litaendesha mtihani wa kidato cha Nne kwa watahiniwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.