serikali

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Tanzania, watu wasiruhusiwe kuingia wala kutoka Dar, Arusha na Mwanza

    Huu ni mtazamo wangu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupambana na COVID-19. Watu wasikae ndani moja kwa moja lakini, ili kupunguza kuenea kwa tatizo nchi nzima, ni vizuri Serikali ikaamua watu wa dar wafanyie Shughuli zao Dar, Arusha na Mwanza kadhalika...Hii ni mikoa ya biashara hivyo...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati mkilia na COVID-19 Serikali ya Afrika Kusini yapongeza ujio wa Kirusi CORONA kwani kimesaidia Kupunguza Uhalifu nchini humo

    Kama ulidhani ujio wa hili Janga Kubwa na baya Ulimwenguni la CORONA halina Faida kwa upande mwingine utakuwa umekosea sana na unajidanganya mno. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Serikali ya Afrika Kusini kupitia Waziri wa Polisi Bwana Bheki Cele amekishukuru kupita maelezo Kirusi kibaya cha...
  3. Zitto

    JamiiForums Tanzania Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG • Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’ • Serikali hoi kwa madeni • Aifananisha na mchana • Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa kutumia kiasi cha shilingi trilioni 1.7 bila ya kupitia Mfuko Mkuu ambao hukaguliwa na Ofisi ya Mdhibiti...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

    Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi! Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!! Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani...
  5. Kanamusi

    JamiiForums Tanzania Wananchi onyesheni ushirikiano kwa Serikali kukabiliana na COVID 19

    Kutokana na jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali kupitia wizara ya afya na vyombo vya usalama kudhibiti maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID 19), Kumekuwepo na tabia ya raia wa kigeni kuingia nchini kinyemela kwa njia za panya. Raia hao wanatumia njia za...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Wageni wanapita njia za panya kuingia nchini wengine wanalipa bodaboda 1000 kwenda vituo vya mabasi. Kipindi hiki Serikali imulike mipaka yetu

    Huyu mwanamke amekutwa na wananchi akiwa hoi kwa kuumwa kifua karibu na mpakani Makuyuni. Nikiwa nimiejituliza naangalia runinga kuna taarifaya habari ambayo inahusu wageni ambao wanaingia nchini kupitia njia za vichochoroni au njia za panya. Katika taarifa hiyo ya habari, wakuu wa mikoa ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lindeni wazazi wenu na wagojwa, msisubiri Serikali

    Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali. Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi. Ndugu wenye pumu...
  8. goldcall

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali na Watanzania kuhusu uzalendo wa kweli

    Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
  9. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona

    Wanabodi tuko Live Karibuni Paskali Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums Corona: Japo ni janga, pia ni fursa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Janga la corona: Serikali iseme mapema kama itafungua vyuo na mashule au itaongeza muda watu wajipange

    Zikiwa zimebaki takribani siku saba kabla ya siku 30 za kufunga vyuo na mashule zilizotolewa na serikali kuisha,ni vizuri serikali ikatoa tamko mapema kama inaongeza siku au inaruhusu vyuo na mashule kufunguliwa ili kuwawezesha watu, wakiwemo wazazi na wanafunzi, kujipanga angali mapema. Sababu...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV

    Wanabodi, Vita dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19, Mapambano yanaendelea, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho asubuhi, watakuwa live ndani ya kipindi cha JLNH (Jicho Letu Ndani ya Habari) kinachorushwa na Star TV, kila...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

    Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo. Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali huwa inatangaza bajeti kubwa kuliko uwezo wa makusanyo na vyanzo vya mapato?

    Nilikuwa najisomea taarifa ya mkaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019, hizi taarifa zinaonyesha serikali ya wanyonge inavyodanganya wanyonge wake. Serikali ya wanyonge imekua ikitaja bajeti kubwa sana lakini uhalisia unaoneysha kua hizi taarifa ni kama vile hua zinaandaliwa na watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga zahanati 3 kila Halmashauri nchini

    Serikali imesema kila halmashauri itajengewa zahanati tatu kwa lengo la kusogeza huduma za afya karibu kwa wananchi wake.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Wazir wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati akiwasilisha bajeti ya mwaka...
  18. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China Tanzania na Barrick (Kampuni ya Twiga) zatoa misaada kwa Serikali kusaidia kupambana na Corona

    Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

    Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi. Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
  20. aise

    JamiiForums Tanzania Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

    Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
Back
Top Bottom