serikali

  1. chiembe

    Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
  2. Nigrastratatract nerve

    MAJARIBIO Hatari kumi ambayo Rais Magufuli na Serikali yake waliyokumbana nayo na jinsi yalivyozimwa kishujaa

    1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasem a tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30 2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku PIGO LA PILI. 3: Wakaleta...
  3. Y

    Ushauri wangu kwa Serikali

    Natumai hamjambo wakuu, Katika historia, bibi mzaa baba aliwahi kunisimulia kua enzi za ukoloni wazungu walipita nyumba hadi nyumba kujifunza tiba za magonjwa mbali mbali kwa wazee wetu kwa kuandika kisha wakapeleka kwao nakuziendeleza hivyo napenda kuishauri serikali pia katika hili. Ikiwa...
  4. Cannabis

    Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
  5. G Sam

    Nimepita maeneo kwenye taasisi moja ya serikali nikakuta mashine ya kuzalisha barakoa inafungwa

    Hii ni hatua nzuri ya kufanywa na serikali maana sisi ni wadau wa kupaaza sauti juu ya mwenendo wa kusuasua wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kuna sehemu nimepita kama nilivyoeleza kwenye heading na kushuhudia mashine hiyo ikifungwa tayari kwa kuanza uzalishaji wa barakoa. Lakini...
  6. J

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  7. Zitto

    Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

    KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE UTANGULIZI Ndugu wananchi wenzangu, Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
  8. beth

    Denmark: Serikali yaanza kulegeza masharti yaliyowekwa kudhibiti COVID-19

    Serikali ya Denmark imeanza kulegeza masharti yaliyowekwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 ambapo taratibu zilizowekwa mipakani zimelegezwa, baadhi ya Shule na maeneo mengine ya umma yameanza kufunguliwa Denmark inaingia hatua ya pili ya kufungua nchi ambapo maeneo ya tamaduni kama vile...
  9. nditolo

    Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

    Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa. Awamu...
  10. B

    Jenerali Ulimwengu: Kauli za Corona zilizotolewa na Rais Magufuli ni porojo zisizokuwa na mantiki au za kufurahisha umati tu

    Akihojiwa na DW Jana mchambuzi nguli Generali Ulimwengu alisema kuwa data zote zilizotolewa na Rais Magufuli ni za kutiliwa shaka sana kwani zinakosa uhalali wa kisayansi. " Huwezi kukubali kuwa data hizo ni halali wakati hupimi watu na maabara zenyewe zina mashaka" Alipoulizwa kuwa Rais...
  11. R

    CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

    Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni. Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
  12. Nrangoo

    Wizara ya Afya yaondoa rasmi kukaa karantini kwa wageni wanaoingia nchini

    .
  13. A

    Serikali okoa wakulima wa papai

    Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
  14. Influenza

    Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri. Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
  15. FRANC THE GREAT

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  16. Analogia Malenga

    Serikali ilijipanga kuongeza mishahara, ila covid19 imeharibu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman amesema serikali ilikuwa tayari imejipanga kuongeza viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini kutokana na janga la corona, utekelezaji wa mpango huo umesitishwa kutokana na nchi kuyumba kiuchumi...
  17. R

    Uzembe wa wanasayansi na Serikali za Duniani hii ni wa kulaumiwa kuhusu pandemics. Hawakujifunza kutokana na historia ya Spanish flu!.

    Hii inaonyesha wazi kuwa dunia yetu tu wazembe na tunastahili tunachokipata, ingawa watoto wetu wadogo hawana makosa ya madhira wanayoyapata. Soma hii excerpt from CDC "The 1918 H1N1 flu virus caused the deadliest pandemic of the 20th century. To better understand this deadly virus, an expert...
  18. Nigrastratatract nerve

    Wapinzani tusimame pamoja kwenye miradi ya nchi tuikosoe Serikali inapokosea

    Tuungane pamoja kuiombea na kuitetea miradi mikubwa kama: SGR STIGLERS GORGE MIUNDOMINU UMEME MAJI HOSPITALI SHULE Na miradi mingine mikubwa kama: Ubungo Interchange. Salender Bridge Busisi Bridge Meli nk Tukiendelea kuipinga serikali hata kwenye mambo ya maana matokeo yake inatumia nguvu ya...
  19. Mzukulu

    Serikali wasaidieni haraka wakazi wa Makongo kwani wanalalamika wachezaji wa Timu ya Ligi Kuu ya KMC kutembea na Wake, Dada na Watoto wao

    Katika kile kinachoonyesha kuwa huenda baada ya Michezo Kusitishwa kwa muda na baadae Wachezaji kuanza Kambi kwakuwa Ligi Kuu ya Vodacom inakaribia Kuendelea Wachezaji wa Klabu ya Ligi Kuu ya KMC wao wameamua kuja na aina yao ya Kipekee kabisa ya Kimaandalizi duniani. Wakizungumza kwa nyakati...
  20. Abdalah Abdulrahman

    Miradi ya kimkakati na uongozi imara wa serikali ya awamu ya tano umechangia kupunguza athari za janga la corona Tanzania

    Janga la corona limetikisa dunia kwa kusababisha taharuki na vifo vya watu zaidi ya laki tatu, kusababisha mdororo wa uchumi kwa kusimamisha uzalishaji, kupunguza ajira na madhara mengine mengi kwa binadamu.Hizi ndizo athari za muda mfupi tunazoweza kuziongelea kwa sasa,athari za muda mrefu...
Back
Top Bottom