serikali

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni jambo zuri Serikali inavyohimiza tupande miti ila napendekeza ingehimiza tupande miti ya matunda kama machenza mpaka katika barabara zetu

    Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  4. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Sisi CCM ndo wenye Serikali, kama imekuuma jinyonge kwa udenda, Magari yetu na Wanachama ni wetu

    Salaam, Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi? Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GePG umeiingizia Serikali Trilioni 2.699 kwa mwaka 2019/2020

    Mfumo wa Kukusanya Maduhuli wa Serikali. Mwaka wa fedha 2015/2016 Kabla ya mfumo huo serikali ilikusanya Bilioni 699. Mwaka wa fedha 2019/2020 Umeeiningizia Serikali shilingi Trilioni 2.699. Ikiwa ni ongezeko la Asilimia 292% PAKUA APP GePG Tanzania - Apps on Google Play /Chanzo Katibu...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Mawaziri, RC, DC na Viongozi wa Serikali hawaruhusiwi kuingia vituoni

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

    Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi. Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
  8. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isipige marufuku Kitchen Party?

    Wakuu hii kitu miaka ya 90 sikuwahi kuisikia. Sijui imetokea nchi gani. Sioni kama wanafundishana mambo ya maana zaidi ya ukahaba na kuvizia vijizawadi. Mwaka 2004 nimewahi kuzamia kitchen party ya walimu wangu kwa kujificha aisee walikuwa wanamfundisha yule Mwalimu mwenzao uhuni na ukahaba...
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania TBS, TCRA na TRA washindwa kuisaidia Serikali kuondoa spea feki za Simu. Mafundi simu waishia lockup wasijue lakufanya

    Wana Jf Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao. TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima tuliyopewa Watumishi wa Umma ndani ya hii miaka 5, hakika nitachapa kazi kwa uadilifu

    Huu Uzi nauandika nikiwa na machungu sana. Miaka mitano - Sijapandishiwa mshahara - Sijapanda daraja -I ncrement ya mbinde. - Kazi yetu kama Watumishi wa Umma haithaminiwi. Wanaoshukuriwa kwenye mikutano ni watumishi wa Vyombo vya dola tu. - Kila siku kiongozi mkuu anasema fedha ziko za kutosha...
  12. ngota wa nzambe

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kuitupia jicho Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inapitia kipindi cha ukata uliokithiri kwa sasa kiasi kwamba, inashindwa mpaka kugharimia baadhi ya vitendea kazi muhimu kama gloves, mabomba ya sindano (syringes) na vingine vingi. Hali hii imepelekea ubora wa huduma kuwa hafifu sana. Pia ulipaji wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaleta siasa kwenye hela za mafao?

    Sababu kuu ni kwamba mifuko hiyo iko hoi. Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati...
  14. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mali kukataa Serikali ya mpito inayoungwa mkono na Jeshi

    Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi. Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  16. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Serikali hii "force account" mnaua ajira za vijana wetu wahandisi, badilisheni huu mfumo

    Ndugu zangu! Sote tunafahamu kazi kubwa ya wandisi wanaohitimu katika vyuo vyetu ajira zao nyingi zilikuwa zinapatikana kupitua kampuni za ujenzi. Kumbukeni miradi mingi katika nchi ni ile ya serikali, kama zahanati, barabara za vijijini, majengo ya madarasa, mabweni, na shughuli nyingine...
  17. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Mali kusimamia Serikali ya mpito ya miezi 18

    Serikali ya kijeshi ya mali imelazimishwa na mkataba wa kisiasa kuanzisha serikali ya mpito ya miezi 18 ambayo inaweza kupelekea kuteuliwa kwa mwanajeshi kama Rais wa mpito , licha ya mapingamizi kutoka kwenye muungano uliofanya maandamano ya kuipinga serikali kabla ya mapinduzi ya kijeshi...
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani! Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza: Annual increment: suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania TCRA, TRA na Mamlaka zingine za Serikali hazipaswi kulaumiwa

    Natumaini mko salama. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu mamlaka za kiserikali hasa zinazolaumiwa zaidi. Kwa muda mrefu Mamlaka hasa TCRA na TRA zimekuwa zikitupiwa lawama wanapofanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Binafsi naona hawastahili kulaumiwa endapo hakuna...
  20. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu sikivu ya Rais Magufuli ninaiomba iwalipe fidia wenye ulemavu wa ngozi(Albino),Waliokatwa mikono yote na wengine mmoja na mguu...

    Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista, Ni...
Back
Top Bottom