serikali

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya utapeli wa ardhi/mashamba ya miti wilayani Mufindi. Wenye mashamba yao watakiwa kuhakikisha usalama

  2. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Barabara ya lami iliyokuwa imefungwa Kigamboni leo imefunguliwa, tunashukuru Serikali kwa kusikia kilio cha wananchi

    Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika! Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha...
  3. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi

    Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu. Serikali...
  4. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ianze kuongeza mishahara watumishi kwa matokeo ya utendaji

    Salaam Wakuu. Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa? Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Katika kipindi cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, tunahitaji kubadilisha hali hiyo

    "Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania RAIS MAKINI SERIKALI MAKINI
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

    Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali inapopendelea maeneo yaliyokipigia kura chama kinachounda Serikali: Ubaguzi huu ni sawa na ule wa Watusi na Wahutu!

    Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma! Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika...
  10. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  12. issenye

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tofauti kati ya serikali zilizopita na hii ya Magufuli

    Tundu Lissu amekuwa akizungumza kuhusu mapungufu ya serikali za CCM zilizopita lakini hakuacha kutoa credit kwa watawala waliopita hasa kwenye kuhangaika kunusuru wananchi kipindi cha Majanga, hii ni kuanzia nyakati za baba wa Taifa ambaye hakuacha watu wafe kwa njaa kisa ukame ni janga la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

    WanaJF Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma. Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu Tayari Kuna pilikapilika kubwa...
  16. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwajali bana jeshi la akiba

  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy aahidi kumuonesha Mwana FA vichochoro vya Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika kampeni mkoani Tanga Katika kampeni hiyo, Ummy ameahidi kushirikiana na Mwana FA kumuonesha kote kwa...
  19. yuda75

    JamiiForums Tanzania Airtel yatoa bilioni 32.9 kama gawio na mchango maalum wa maendeleo

    jamani nikisema pesa ya kampeni hakuna hali mbaya tunabisha aya sasa magawio yameanza na mtasikia makampuni mengi yakitoa magawio kipindi ichii sasa sijui hali itakuwaje after election tuchague sera bora na zinazo tekelezeka na sion vinginevyo AMKA KITAA BADOO KUNA UTAWALA WA NJAA =====...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

    Hakuna nyumba isiyokuwa na mfanyakazi na mfanyabiashara. Nyinyi ni waelewa wa kinachoendelea kwetu nchini. Mmeumizwa sana! Kwanini tutawalaumu? Ushindi wa kuleta mabadiriko uko mikononi mwenu uchaguzi huu. Kwa vipi? Kila mmoja akiwa na wapiga kura 100, basi mabadiriko tayari. Hapiti mtu! Hata...
Back
Top Bottom