Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
UTANGULIZI

1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA.

2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU.

3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE.

HOJA
1. Siyo siri kwamba kuna wimbi kubwa sana la vifo vya binadamau wa umri wote, kada zote na aina zote linalotokana na kushindwa kupumua.

2. Mkuu wa Wizara ya Afya wiki mbili zimepita amehamasisha matumizi ya dawa za asili zinazotibu magonjwa mbalimbali ya kuambukiza zikiwemo mapafu, mafua n.k, na hata akademostrate recipe ya kutengeneza moja ya remedies hizo kwa kutumia vyakula vilivyopo hapa nchini.

3. Mkuu wa nchi ametoa msimamo sahihi na thabiti sana wa kuhimiza uangalisfu dhidi ya hila za maadui wa Africa ambao wamedhihirisha hila za kishetani za kutudhuru kwa kupitia huduma za afya ama misaada ya kibinadamu. Big Up my Rais, nakuombea Mkono wa Mungu usipungue kwako maana wewe ni Mkombozi wa Africa.

4. Bila kujali kwamba kuna Corona ama hakuna, ama kwamba mauti zinazoingira familia ya Mtanzania vinayotokana na mifumo ya hewa ni corona ama kitu kingine, kwa level yetu ya uelewa hatuhitaji mtu (anayetaka tufe) ama adui yteu atuambie hili wimbi ni nini na nini cha kufanya. Hatuhitaji WHO wafanye tafiti wagundue ni kwa nini tunakufa kwa kushindwa kupumua halafu waanze kutuambie tufanye nini wakati pamoja na kwamba hata wao CORONA imewapiga na hawana suluhu yoyote ya kweli, wameonyesha uchu wa kutumaliza kupitia vitisho vya maradhi.

5. Kwa hoja namba nne hapa juu, ni jukumu letu kuendelea kujiongeza na kufanya maamuzi yenye msutakabali sahihi wa familia yetu. Walitumabie tujifungie tukakataa na kutafanya kivyetu na baadaye wakaanza kutuiga ingawa ni baada ya kutupigia makelele. Tuemone namna rais wa Madagascar walivyotaka kumnunua ili dawa iliyokuw aimegundulika kule iwekewe sumu, na hao hao ambao leo wanasema eti wanachanjo ya kutuokoa!!!!!. The devil is a liar". Na hata mazingira ya ongezeko la Corona Madagascar linatia shaka sana. Isije ikawa walispray sumu kwenye vegetations za nchi hiyo ili dawa itakayotengenezwe locally isiwe effective

6. Tunapovaa uzalendo na kusimamia uhuru wa taifa, tuende na huo mtazamo katika mambo yote mema kwa taifa.
Kuna dawa nyingi sana ambazo zimethibitishwa kutibu CORONA na kuwekwa kwenye media, na TCRA hawajawahi kuchukua hatua za kisheria kwamba waliotangaza akiwemo Mama Asumpta Mshana aliyekuw a DC wakibaha kwamba ni waongo. Mheshimiwa Kabudi naye alionekana kusema jambo hili na hajachukuliwa hatua zozote za kisheria kwa mantiki hiyo hizo dawa zipo na ama zinaweza kutengenezwa kwa haraka na zikawa na upatikanaji sahihi kwa matumizi ya Watanzania.

7. Kwa kuwa Uongjwa wa kupumua sasa ni suala Mtambuka. hatujui nani na anacheo gani ataanguka ghafla dakika ijayo na kufa kwa gonjwa hilo, badla ya kuwaambia watu wachukue tahadhari kana kwamba hakuna sababu ya kuwa na regulatory wala supervisory bodies, ninaomba seriali ilichukulie maanani na ichukue hatua zifuatazo.

a). Watengenezaji wa dawa hizo zilizothibitika kutibu CORONA, wawezeshwa kutengeneza dawa hizo kwa wingi ( arrangements za kuwaongezea nguvu ama kwa njia ya ubia, mkopo, tehcnolojia ama ruzuku zifanyike ili wazalishe dawa hizo kwa haraka , kwa wingi na kwa ubora uleule).

b) Dawa lishe hizo zigawiwe kwa wingi kila sehemu Tanzania , na ziuzwe kwa bei elekezi ii kuthibiti watu wanaopenda kufaidika na misiba ya wengine. Bei hiyo iwe ya chini sana ili kumwezesha kila Mtanzania kununua na kuitumia. Wazee wastaafu, wajawazito, watoto na wasiojiweza wapewe bure". Kila mtu anywe hiyo dawa Tanzania nzima.

c) Inashangaza waziri anaseema watu wajikinge wenyewe wakati hauna hatua zinazolazimisha compliance katika vyombo vy ausafiri kama mabus, magari ya mwendo kasi ni balaa, pantonini, n.k. Toeni agizo mara moja watu wasafirishaji wa abiria wasibananishe abiria wakati kuan mtambuka wa vifo vya mifumo ya kupumua .

Hitimisho
Sijasema CORONA na hata viongozi wakichukua hatua hawana haja ya kusema Corona kama si Corona. Naomba waseme wanaa address suala Mtambuka namifumo y aupumuaji.

Nogja ngoja huumiza matumbo. Tusiendelee kungoja maana hatuju who is next.

NI faida kubwa na uwekezaji mkubwa kwa taifa likiwekeza kwenye kuimarisha afya za watu wake. Ni busara kubwa kama viongozi waatatumia fedha zetu za KOdi kufanikisha suala hili ambalo gharama yake ni nafuu sana kuliko gharama za kuuuguza, kulaza na kupoteza watu wetu. Tutumieni fedha zetu kwa maslahi ya taifa. Afya ni mtaji uhai. Kwa pamoja tutavuka.
 
Hapo sasa ndipo ulipodhihirisha upumbafu wako, ugonjwa umeenea ulimwengu mzima wewe uje na hiyo hilonla eti maadui wa afrika, kufika hapo tu nikasema peleka uhalo ukaharishe huko, Janga la dunia kama surua, polio , ebola utasemaje ni hila au mkono wa mpumbafu wewe?

I don't want haters on this thread. Kama matusi yako yanatibu ugonjwa wa kupumua, endelea kutuakan. We need solutions for human life. That is what matters for now. After all, you don't have right to drag me into your emotion patterns and levels. Haya hayakupeleki popote mara utakapoanguka kwa kushindwa kupumua utanikumbuka na nidpo itakkuwa mwisho wa chuki zako. Maskni juha lisoelewa kitu linatoa povu tu!. Pole.
 
I don't want haters on this thread. Kama matusi yako yanatibu ugonjwa wa kupumua, endelea kutuakan. We need solution for human life. That is what matters for now. After all, you don't have right to drag me into your emotion patterns and levels. Haya hayakupeleki popote mara utakapoanguka kwa kushindwa kupumua. Hauendi kokote na chuki hizi.
Una point nzuri ila ni dhaifu, ulimwengu mzima wanapigania hicho hicho, Tanzania tunakipi cha kujivunia? Tabby watu wanakufa acheni ujinga tutakufa kipumbavu! Umeongea assumptions kibao.
 
Una point nzuri ila ni dhaifu, ulimwengu mzima wanapigania hicho hicho, Tanzania tunakipi cha kujivunia? Tabby watu wanakufa acheni ujinga tutakufa kipumbavu! Umeongea assumptions kibao

Unataka ujivunie nini?

Wewe unataka tufanye nini ili tusife kipumbavu?

Naomb uwe specific. I am not talking on assumptions. Kila kitu kiko evident unless you are not a good researcher.
 
0215122617.jpg
 
Mbona umeandika pumba ambazo hazieleweki? Uko sawa kichwani wewe?
Inahitaji watu wenye akili kuupbwa kuelewa masuala ya maana . Elimu za kata hapa hupati kitu!. Nimetoa angalizo mwanzoni watu wa level yako soma pita.
 
Watu wanahangaika kutafuta mkate wa kila siku wewe unahangaika kufikiria korola!! njoo kkoo tandamti, Ilala, Mabibo, Tandale, Manzese, Buguruni, Mnyamani, Vingunguti, Gongolamboto, Mbezi, wana jiji wapo bise wanapiga kazi, wanafunzi wapo bise na masomo shuleni, wewe huna kazi?

Njoo huku shamba tupalilie mazao, wacha kupoteza muda wako. korona ni ugonjwa kama wa mafua, tunijifukiza na maisha yanaendelea, we kama unamua subiri kifo kikukute hapo.
Wewe hayajakukuta, lakini watu ambao tumeshapoteza ndugu kwa muda mfupi kwa changamoto hizo tunajua nini kimeongelewa. Bora ufunge bakuli lako wachangie wengi akili kuliko mipunguani kama wewe.
 
I don't want haters on this thread. Kama matusi yako yanatibu ugonjwa wa kupumua, endelea kutuakan. We need solutions for human life. That is what matters for now. After all, you don't have right to drag me into your emotion patterns and levels. Haya hayakupeleki popote mara utakapoanguka kwa kushindwa kupumua utanikumbuka na nidpo itakkuwa mwisho wa chuki zako. Maskni juha lisoelewa kitu linatoa povu tu!. Pole.
hizi thread tumezijadili Sana humu,mi nadhani ni kupoteza muda kupendelea kuandika ,wenye akili timamu wamejiongeza ,haya uliyoandika yalishaandikwa na wadau wengi tu jf. Kwanza nappteza time yangu bure.
 
hizi thread tumezijadili Sana humu,mi nadhani ni kupoteza muda kupendelea kuandika ,wenye akili timamu wamejiongeza ,haya uliyoandika yalishaandikwa na wadau wengi tu jf. Kwanza nappteza time yangu bure.shiiiit!
Sorry, did I invite you? Stop being selfish dude!.
 
Mkuu wangeitaji kutuua wala wasingesubiri Corona. Chanjo zote tunazotumia hadi sasa zinatoka kwao. Madawa yote yanatoka kwao.
Tuachane na hii mentality ya kimaskini na ki laymen kwanza, akili hii ya kijinga ni ugonjwa mkubwa kuliko Covid19 yenyewe.
 
Unataka ujivunie nini?
Wewe unataka tufanye nini ili tusife kipumbavu?
Naomb uwe specific. I am not talking on assumptions. Kila kitu kiko evident unless you are not a good researcher.
Tabby, narudia una hoja nzuri ila Haina mashiko. Huwezi kusema huenda Madagascar wamewekewa sumu kwenye .....hii ni assumption! Kubali au weka source kwamba kuongezeka kwa maambukizi Madagascar kumechagizwa na sababu Fulani na sio kusema huenda...
 
Matangazo ya vifo kamwe haya wezi kutuepusha na korona zaidi ya wewe na familia yako kujikinga kwa kutumia dawa zetu asili.

kuleta matangazo ya vifo humu ni kupoteza muda bure. na haswa matangazo yanayo lenga kutoa taarifa za sababu ya kifo,
sababu ya kifo ni siri ya ndugu wa marehemu, wewe ni nani unatoa siri ya marehemu?

nadhani napendekeza wale wote wanao toa taarifa za marehemu bila idhini ya ndugu wachukuliwe hatua za kisheria, wamo humu ndani JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inahitaji watu wenye akili kuupbwa kuelewa masuala ya maana . Elimu za kata hapa hupati kitu!. Nimetoa angalizo mwanzoni watu wa level yako soma pita.
Elimu za kata Tena, hujui hata huyo daktari anayekutibu au kuitibu Familia yako kasomea shule za kata?
Huwezi kuelewa kila kitu kubali kukosolewa kiongozi
 
Back
Top Bottom