Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena.
Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu.
Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
Joseph Selasini ni mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Hivi karibuni wakati akitoa mchango wake bungeni,Mhe.Selasini aliwakumbusha wapinzani na watanzania kuwa Shabaha ya kuwepo kwa mageuzi siyo kupinga Kila kitu au kubeza kila...
1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa
2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa
3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo...
Huo ndio ushauri wangu, wasanii, kwa makundi na aina ya sanaa zao, wapewe fedha waandae matangazo, kama ni TV, basi wanaweza kuwa hata kumi kwa tangazo, matangazo yakawa mengi,vituo vya redio na TV na magazeti, serikali ikadondosha kwa hata milioni 500-700
#stimulus package
Kuna mitazamo inayokizana juu ya namna serikali inavyoshughulikia janga la Corona nchini.
Wako wanaosema serikali so far imepambana sana na janga la Corona lakini wapo wanaosema serikali haijafanya chochote.
Toa maoni yako itapendeza kama utatoa na evidence.
Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili.
Hoja yangu ni fupi...
Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa mh Mwamoto amesema hali bungeni ni tete na ya kutia wasiwasi kufuatia vifo mfululizo vya wabunge.
Mwamoto amehofu kuwa ndani ya wiki mbili wabunge watatu wamefariki na hawajui anayefuatia ni nani hivyo ameiomba serikali ifike bungeni na kuwapima Corona...
Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi
Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu.
Naishauri serikali
Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kwa miaka minne imekuwa ikiwadanganya wafanyakazi juu ya kuwaongeza mishahara Yao.
Wakati wanapiga kampeni CCM na Rais Magufuli waliwaahidi wafanyakazi kwamba watawaongeza mishahara Yao lakini kila mwaka Rais Magufuliakialikwa kwenye sherehe za meimosi...
Watanzania wengi sasa wanaanza kuona, wengi walikua wamevaa miwani ya mbao hapo kabla ila sasa mbao zimeoza wameanza kuona na kujua serikali ya wanyonge ni serikali ya namna gani.
Serikali ya wanyonge ambayo imejaa majigambo, serikali inayonunua ndege cash money young money, inajenga...
Wale wanaomfahamu Zephania Musendo, alikuwa Mwanahabari Mwandamizi na Mhariri mkuu TSN na mwishoni nadhani alikuwa MCT.
Amefariki dunia wiki iliyopita Kawe Dar Es Salaam na kuzikwa na Serikali,
Mei 17, mwaka 2005 alifungwa Miaka Mitano katika gereza la Keko kwa kupatikana na hatia ya kuomba na...
Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.
Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.
Serikali ya Rais John Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.