serikali

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Bodaboda waishitaki Serikali kwa kuwazuia kuendelea na biashara

    Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
  5. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali kufikisha umeme mgodi wa stamigold Biharamulo

    Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha kuwa, ifikapo mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu, umeme uwe umefikishwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold uliopo Biharamulo. Alitoa maelekezo hayo jana, Julai 6, 2020...
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo. Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya ajira ilivyo sasa, Serikali fikirieni upya kuhusu fao la kujitoa kwenye ajira

    Kuna kundi kubwa sana la vijana wasiokuwa na ajira ama wako kwenye ajira zisizo rasmi na ajira za ujira mdogo. Hawa wote wanategemea siku moja kupata kazi zenye maslahi ya kuridhisha. Kibaya zaidi kuna watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi lakini sio wote walio na malengo ya kustaafu...
  10. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Serikali itaboresha Mazingira ya Uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili kuvutia sekta hiyo. Akizungumza jijini Arusha katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili Kairuki alisema kuwa serikali chini ya...
  11. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yapongezwa kwa kusimamia Uchumi imara na jumuishi uliopelekea Tanzania kuingia Uchumi wa Kati Duniani

    Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati miaka mitano kabla ya wakati. Katibu wa NEC –...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  13. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta Tozo 163 Kuwaondolea Usumbufu Wafanyabiashara

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua rushwa inayoendelea kwenye shirika la Hifadhi ya Jamii?

    Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe...
  15. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  17. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Serikali kusaidia wenye wake wawili

  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Triple C anapiga chenga mpaka refa serikali iko kimya tu!

    Pasi alizopiga Chama peke yake ni zaidi ya pasi za Yanga nzima mechi ya Kagera sugar. Jana kabla ya kufunga goli alipiga chenga mpaka refa Ni muda wa serikali kutolea tamko suala hili
  20. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Back
Top Bottom