Uchaguzi 2020 Ni jukumu la Serikali kuhakikisha watu wanafika kwenye vituo vyao vya Kupigia Kura

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
Kwa mujibu wa Sheria ya gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010;​

Kifungu cha 23, Kifungu kidogo cha 6 (b) kinaeleza kuwa iwapo wapiga kura hawatokua na uwezo wa kufika kwenye vituo vya kupigia kura kutoka kwenye makazi yao bila kuvuka bahari au mto, itawekwa namna ya kuwafikisha wapiga kura hao kwa usawa kwenye vituo vyao vya kupigia kura au kuwawezesha kuvuka ili kufika kwenye vituo vyao.​

Aidha, kifungu kidogo cha 7 kinaeleza kuwa; Ni jukumu la Serikali kuhakikisha kuwa njia za usafirishaji zinakuwepo kwa wapiga kura wote ambao wanahitaji kufika kwenye vituo vyao vya kupigia kura.​
 
Back
Top Bottom