serikali

  1. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/ Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba. Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota. Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali kupokea Tsh Bilioni 100 kutoka Barrick, sehemu ya Bilioni 700 ya kishika uchumba

    Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

    MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
  4. Guus

    JamiiForums Tanzania Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
  5. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali ya awamu ya tano imewajali masikini?

    Watu wengi sasa wameona na wametofautisha ni wakati gani kati ya awamu hii na ile iliyopita ya KIKWETE ni wakati gani umasikini umekolea vzr na majibu yako wazi na yanajulikana wala hayahitaji mtu apewe michoro ili aelewe vzr. Serikali ya awamu ya tano ilijinasibu,na imeendelea kujinasibu kuwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Nimekosa imani na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Inawezekana hata picha za SGR anazotuletea ni za uongo. Hali halisi.
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake palikua na kiwanda cha kutngeneza nguo. Hicho nacho kimesimamisha uzalishaji ingawa kwa hicho sababu...
  8. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

    Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari? Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  10. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

    Kuna mambo mengine nchi hii yanashangaza na kusikitisha kweli. Mtu kalima kahawa zake, kwa pesa zake na nguvu zake halafu unampangia amuuzie nani. KCU imekusanya kahawa za wakulima halafu huu karibu mwezi wa 3 hawajawalipa pesa yao. Hiki chama cha ushirika hakina maana tena bora waache watu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

    Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  13. Tetra

    JamiiForums Tanzania CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha serikali ya Rais Magufuli kwenye sekta ya umeme

    Na Bwanku M Bwanku Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 2018 tu vyenye umeme kati ya vijiji 12,268 vya nchi nzima ya Tanzania. Kuingia madarakani...
  15. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Msisitizo katika maendeleo kwa Serikali ya Awamu ya Tano kumeimarisha Muungano na amani Zanzibar

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Harufu ya ufisadi stendi mpya Mbezi: Je, CHADEMA ilishindwa kuisimamia Serikali ipasavyo?

    Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani. Rais Magufuli ameahidi kulichunguza suala hilo na kuchukua hatua stahiki. Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

    "Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza" Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma) Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ni ombi tu kwa Serikali, kwenye dhifa za kitaifa Azam wawe warushaji wa tukio

    Salaaam TBC wanatuangusha Sana kwenye kufanya live coverage Naangalia dhifa ya kitaifa live kutoka Ikulu, Yan dah aisee ni full makelele Ni bora wangeacha bila kutafsiri coz hatusikii maneno ya Rais wa Malawi wala maneno ya translator I think Azam wako vizuri sana kwenye hizi mambo
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

    Habari za wakati huu; Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe. Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Serikali upande wa elimu irasimishe vituo vya watoto chekechea kufundisha hadi darasa la 3 ndipo wajiunge na shule za msingi kuendelea darasa la 4

    Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
Back
Top Bottom