Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,313
- 24,171
Huu mtambo upo Bunju kando kando ya barabara ya Bagamoyo.
Umeharibika na umekuwa hapo karibu mwezi mmoja sasa.
Kabla ya hapo ulikuwa pale Mbezi Goig na pale vile vile ulikaa barabarani mwezi mmoja..
Huu ndo umakini wa idara za serikali-naamini huu ni mtambo wa Halmashauri fulani hapa Dar es salaam.
Magufuli baba kuna mtu anaomba kutumbuliwa, rudi DSM!
NB
Mtambo huu ukiwa mpya bei yake Tshs 400million.
UPDATE
Mtambo bado upo, mwezi na nusu sasa hapo.