serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

    Habari wanaJamiiForums, Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana. Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa una hati miliki ya serikali kubadili beti au chochote kunataka

    Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including: the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned alternative words cannot be substituted for...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati. Wanaume wengi siku hizi kuna kitu kinawapata. Ushahidi Huu

    Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza. Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli hailipi bei halali ya Tanzanite, wachimbaji wanalipwa chini ya nusu ya bei. Kama bei ni halali hakungekuwa na haja ya ukuta

    Bei ya carat moja ya TANZANITE ni Dollar za kimarekani 300- 425, Kwa carat ya pili ni dollar kuanzia 450 hadi 650, na kwa carat ya tatu ni kuanzia USD 650 hadi 750. Kwa hiyo kwa mawe aliyopata Billionea Laizer bei ambayo angestahili ni kuanzia bei ya carat ya tatu. Kwa macho tu ile Tanzanite...
  5. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu kesi ya dhamana ya makosa makubwa

    Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Join instruction za Vyuo vya Serikari vya Afya

    Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu Join Instruction za Kozi za Afya kwa Vyuo vya Serikari, je vipi zimetoka au bado kwa anayejua naomba anijuze maan na dogo langu amechaguliwa Chuo cha Afya Kibaha. Pia, nikiangalia kwenye account yake ya NACTE uthibitisho naona hamna kipya asee.
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa watumishi wa Serikali si walipa kodi?

    Nilikuwa nasoma sehemu niikakutanaa na hii kauli, inaukweli? Keep in mind that civil servants are not taxpayers (even though, in public discourse, they frequently fancy themselves to be so). Rather, their net income is typically paid out of taxes paid by other individuals working in the private...
  8. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Serikali na DPP mnakwamisha sana Haki

    Kumekuwa na Kundi kubwa sana la wananchi wakisota Rumande kwa kile kinachotajwa kuwa "UPELELEZI HAUJAKAMILIKA" hii kitu imekuwa adui mkubwa sana wa haki za watuhumiwa. Kuna jamaa flani hapa mtaani amekaa rumande/jela kwa miaka miwili kwa kesi ya uhujumu uchumi, alikuwa mtuhumiwa namba mbili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Habari wanaJF, kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
  10. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kuzuia Serikali isinunue Ndege kwawaponza upinzani kupata misaada toka nje

    Mataifa ya nje ukiharibu biashara zao wanakuwekea vikwazo na kukunyima misaada Safari mataifa ya ulaya na Marekani wamegoma kutoa misaada ya Hali na Mali kea vyama vya upinzani Tanzania Baada ya wao kupinga bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue Ndege za bombarier na Boeing Sasa hivi...
  12. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

    Sana JF. Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta. Watanzania wengi...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya Serikali ya Awamu ya Tano yumo mtu au watu wenye gubu?

    Gubu ni neno la kiswahili ambalo tafsiri yake ni mtu kuwa na hasira na kupaniki hovyo hata kwa jambo ambalo ni la kawaida. Mtu huyo mara nyingi ni mgomvi mgomvi, mlalamishi, anayenuna nuna hasa pale anapoelekezwa jambo, kuadhibiwa kwa kosa lake au kuonywa! Hivyo gubu siyo tusi. Sasa basi...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao

    Tufunge biashara zao zote TZ. Hakuna kuuza wala kununua. Inawezekana ktk biashara hizo wakatufanyia hata hujuma. Ili kuonesha kuwa TZ kuna maambukizi makubwa ya Corona. Tanzania haitegemeni uwepo wa Kenya nayo iwepo. Kwa miaka mingj hawa jamaa wamekuwa wakituona Tz kama wanyonge wao...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 14 kwa Bodi ya Nafaka kukamilisha malipo ya Wakulima wa Korosho

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
  17. Bandamwagaz

    JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mihayo: Wasimamizi wa Uchaguzi wasipokee maagizo ya kuvuruga Uchaguzi kutoka kwa Viongozi wa Serikali

    Kamishna wa Tume ya uchaguzi NEC Mhe. Jaji Mihayo amewataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya Siasa pale inapostahili kufanya hivyo ili uchaguzi uweze kuwa Huru na Haki. Kadhalika Jaji Mihayo amewaasa wasimamizi hao kutopokea maagizo kutoka kwa Viongozi wa Serikali...
Back
Top Bottom