Wajumbe,
Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi.
https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/
Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
Kabla ya kwenda moja kwa moja napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mtu ambaye sipendi kuona watu wakionewa na hasa kunyimwa haki zao za msingi.
Kumekuwepo na dhana potofu hapa Tanzania kuwa kila mtu anayeikosoa Serikali ya sasa ya awamu ya tano lazima akutane na mkono wa chuma.Dhana ambayo imekuwa...
Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe.
Mwaka 2017 kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT jijini Dar es salaam rais JPM alisema hawezi kuongeza mishahara ya watumishi...
Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga.
Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi.
Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
Wazalishaji na wasambazaji wa vifungshio wamepewa miezi mitatu kuondoa sokoni bidhaa hizo zisizokidhi vigezo vinginevyo wajiandae kukutana na mkono wa sheria.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Januari 8 alipozungumza na waandishi wa...
Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani...
Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake.
Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao.
Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na...
Mchakato wa kufanya manunuzi ya mali umma zipo wazi.
Kwa upande wa Halmashauri ni wazi kuwa lazima Baraza la Halmashauri husika likae na kupitisha matumizi pia kibali kutoka kwa wenye mamlaka kiruhusu.
Tunajua wazi kuwa halmashauri nyingi zina magari haya ambayo kwa sasa ndio yanaonekana ni...
Vituo vya kulelea watoto (Daycare) vinavyoendeshwa bila kibali na visivyokuwa na sifa huenda vikafika mwisho baada ya Serikali kuanza kuvifunga.
Wakati Serikali ikitangaza kuchukua hatia hiyo, halmashauri ya wilaya ya Ubungo imetangaza kuanza kuvifunga vituo hivyo kuanzia Januari 21, 2021...
Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli.
Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
Nashangazwa na serikali hasa ukizingatia wameweka wasomi wengi sana. Kwasababu ya mazoea wasomi wetu sio wabunifu na hakuna sera siku hizi na mapingo mizuri zaidi ya kumsubiria Magufuli anasema nini.
1. Elimu: Kwanini tunakurupuka sasa na kujenga vibanda tunavyoita madarasa! wakati kuna kitengo...
Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu na ukali wa maisha kwa wananchi na pia unaweza ukapunguza kwa asilimia kubwa ukusanyaji wa kodi...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria
iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi.
(2) Bunge au Baraza la...
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili.
Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujidanganya kuwa kila kitu ni shwari pasipo kuangalia mrejesho tokea kwa wananchi.
Hivi serikali ya awamu hii inafahamu kwa nini ina mwonekano hasi?
Hapo ni kibwagizo tu. Ila ukweli wa mambo ni kuwa uporaji wa haki na uhuru wa watu haujawahi mwacha yeyote...
Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira.
Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu.
Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.