serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli "Kabla ya kuwapongeza...
  2. JamiiForums Tanzania Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

    Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi wa Serikali wanaweza kutumia ukimya wa Rais kupoka raslimali za taifa?

    Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume cha sheria kwa kuwa Rais kakaa kimya. Pia kuna uwezekano baadhi ya viongozi wenye kashfa wakatumia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali Ili kuwasaidia hawa Watanzania Maskini

    Huwa mara nyingine nikiwa Ofisini napenda kumpa pesa bwana mmoja aniletee Madafu. Ni muda kidogo sikununua madafu leo nimemtuma aninunulie dafu. Nikampa tsh 10,000. Kwa mshangao mkubwa kaleta madafu mawili. Akimaanisha kila dafu tsh elfu tano 5,000. Nakumbuka mwaka jana mwezi wa nane pia...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

    Wana JF, Baada ya Serikali kutoa tamko la kukata ticket kieletroniki sasa wafanyabiashara wa Mabus kwa kushirikiana na brokers au madalalie wa ticket. Kibaya zaidi hupewi ticket baada ya kutoa fedha. Leo nimejifunza kitu gari no. T 195DAV KVC Safari karibu abaria wote hawana ticket. Jambo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

    Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni. Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tuuzoee utendaji mpya wa Serikali yetu - Faragha na kimya kimya

    Wenye chuki wote popote alipo wacha wajinyonge! Mabibi na mabwana ni muda sasa wa kuuzoea utendaji mpya wa serikali yetu. Hii mambo ya kuzurura kariakoo au magomeni siyo dili. Wito wa mheshimiwa Rais kuwataka watendaji kuchapa kazi wakiachana na media ikiwamo mitandao ya kijamii sasa ni kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Serikali ya Rais Magufuli havitoshi kutokomeza matatizo tuliyonayo

    Wana bodi, Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na wananchi kupitia vyombo vya habari ni kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wetu. Ratiba ya Rais, kwasababu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamfuatilia Abu Yasir Hassan anayesakwa na Serikali ya Marekani kwa ugaidi Mozambique

    Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali katili sana. Hata kuajiri 10% ya wahitimu wa fani inashindwa!

    Sawa tumekubali tatizo la ajira ni kubwa lakini so kwa kiwango Cha kushindwa kuajiri wafanyakazi wapya. Miaka yote kuanzia enzi za mkapa watu wamekuwa wakiajiriwa kwanini Sasa hivi imekuwa ngumu mno. Isije kuwa kukosa ajira kunawapa watu stress wakiwaza na hatimaye kubali kulia kimya kimya nani...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  12. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

    Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona. Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeanza mbinyo kwa vyombo vya habari kutoka Kenya?

    Je, hali hii inatokana na taarifa zilizotolewa na chombo hiki kuhusiana na afya za viongozi wa Tanzania? Wenye Azam Tv angalieni channel namba 331
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kupanda madaraja: Adui wa staff development katika awamu ya Serikali ya tano

    Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi. Huko nyuma walimu walikuwa wanaenda masomoni na bado madaraja yao yanapanda kama kawaida, lakini serikali yako imekuja na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

    Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥 Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad === Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
  19. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifute mikopo ya halmashauri badala yake mikopo hiyo ielekezwe kwa wahitimu wa vyuo na walemavu

    Habari wanabodi..! Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu. Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yaipongeza Serikali kwa kuwekeza miradi ya maendeleo iliyoboresha huduma tiba za kibingwa nchini

    Maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo (Ango-Suite) katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Maabara hii itaiwezesha taasisi kufanya upasuaji wa matatizo ya mishipa ya damu kichwani pasipo kulazimika kufungua fuvu la kichwa. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…