serikali

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

    Picha zinajieleza. Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma. Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Dkt. Tulia kurudia rudia kusema anamwakilisha Spika Ndugai, msiba siyo kikao cha Serikali

    Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali. Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

    Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania. Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko. Kila mtu anajua sasa hivi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

    Naandika huku naumia sana. Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana. Chanzo cha kuumwa. Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu. Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tazama video ya Jussa, jiulize ilikuwaje ACT Wazalendo ikaunda Serikali ya mseto

    Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

    Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko. Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu yaani kuwa na hospitali zenye hadhi. Moja tatizo la sasa ni changamoto ya upumuaji. Je, tupo imara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za Utotoni: Ushauri kwa vyombo mbalimbali vya Serikali

    Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma kama ilivyoanishwa na kanuni za ubora wa huduma za mwaka 2018. Hata hivyo, mamlaka hiyo imezielekeza kampuni hizo kutozipeleka fedha hizo TCRA badala...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo. Charles...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali itatoa ajira kwa usawa?

    Jamani wanajamvi, Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa. Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya...
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zinasaidia kupotosha ufahamu wa watu kuhusu COVID-19. Hata Vyuo vikuu!

    Kinachotokea nchini ni mchanganyiko ni ukosefu wa maarifa toka kwa wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo. Kama alivyosema Mganga mkuu wa serikali, kuna watu wanataka kusikia kinachosemwa na viongozi ndo wachukuwe hatua za kujikinga. Bahati mbaya wanaotakiwa kusema hawasemi ukweli. Masikitiko...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania UNICEF ikishirikiana na serikali za nchi jirani husika inasambaza chanjo za COVID duniani

    Across the world grandparents, parents, healthworkers, and other frontline workers are sharing what receiving the COVID-19 vaccine ✌.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

    Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka. Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi. Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
  17. chrome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

    UTANGULIZI 1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA. 2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU. 3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE. HOJA 1. Siyo siri kwamba kuna...
  19. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

    Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu. 1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine. 2...
  20. Requal

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
Back
Top Bottom