serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Naam wakuu, Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani. Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  3. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyote vilivyomilikishwa kimakosa kupigwa mnada ili Serikali ipate hela

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametanza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia kitambulisho cha NIDA kwa Nchi nzima. “Tunataka Wamiliki wote hewa waliomilikishwa kimakosa, kiwizi, kiutapeli na...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

    Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi. ==== Dar es Salaam. Wamiliki wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Tuukatae upotoshaji huu tunapochukua tahadhari

    Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari: 1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki. Ukweli ni kuwa taarifa sahihi zinatuweka katika hali muafaka ya kukabiliana na tatizo lililopo. 2...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Senegal: Maandamano yazidi kupamba moto, Serikali yaamuru huduma ya Intaneti kuzimwa Nchi nzima

    Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika la kuangalia mtandao NetBlocks limeripoti leo Ijumaa. Kulingana na NetBlocks, huduma ya intaneti...
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Serikali ndo chanzo cha migogoro ya ardhi

    Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali ianzishe utaratibu wa kubadili policy zinazohusu ardhi na sheria zake karibu kila mwaka .. migogoro...
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe. Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu. Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
  9. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali ili kuboresha afya za Watanzania

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini. Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali itapeleka Tsh Bilioni 137 katika Halmashauri zote ili kuboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari mwaka 2020/2021

    Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) itapeleka Shilingi bilioni 137 katika Halmashauri zote nchini kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari mwaka 2020/2021. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako mjini...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa. Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi na kufunga baadhi ya vituo vya kibiashara kutokana na kodi kua kubwa huku mauzo yakipungua kila...
  12. Protector

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali itajenga Chuo Kikuu mkoa wa Mwanza?

    Kwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa. Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    Habarini. Nimefika jumamosi kutoka Sweden, Canada, Spain, UK, USA, Egypt na Botswana. Safari hii sikuzunguka sana. Leo Jumatatu huwa mara nyingi natumia JEEP so nimetoka zangu home kwenda Ofisini asubuhi hii ikatokea ajali ndogo tu. Toyota Vits imegonga Gari VW kiasi tu imechubuka. Nakumbuka...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna Wanahabari wanafakamia kila kinachosemwa na mabeberu ili kupinga maendeleo

    Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbasi amewataka wahariri na waandishi nchini kuenzi misingi ya weledi na uzalendo katika kazi zao ikiwemo kufanya utafiti kwanza kuliko "kufakamia" mawazo na maoni ya watu wasioitakia nchi mema. "Baadhi ya waandishi hawafanyi utafiti wala kutaka kujua mambo kwa kina...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania HongKong: Wanaharakati 47 kufikishwa Mahakamani kwa kujaribu kuipindua Serikali

    Polisi wamewakamata wanaharakati 47 kwa "kupanga kuipindua serikali " katika Kanda Maalum ya Utawala ya Hong Kong. Imetangazwa kuwa watu hao 47 watafikishwa mahakamani siku ya leo. Imeelezwa kuwa wanaharakati hao, wenye umri kati ya miaka 23 na 64, walikamatwa mnamo Januari na kuachiliwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona

    Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua. Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Madhaifu na makosa ya Serikali ya awamu ya tano hamuwezi kuyaona kwa taa ya kandili

    Unachambua mchele ukitegemea kuona mawe kwa kutumia taa ya kandili ujue unaumiza macho. Maana ina mwanga hafifu tofauti na stima. Je, ni rahisi kuibananisha na kisha kuihukumu Serikali inayojiwajibisha yenyewe? Hapana, maana serikali makini inajisimamia inavyotakiwa. Huwezi kusikia ufisadi wa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

    Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifanye haya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana

    Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi. Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
Back
Top Bottom