Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
Ni rasmi sasa watumishi wa serikali wamepewa ruhusa ya kwenda safari za nje ambazo zilisitishwa na hayati Magufuli.
========
Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mchengerwa amesema kuwa anawaagiza wakuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kujipanga kwa ajili ya kutoa mafunzo...
Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu.
Uwanja huu wa kisasa umejengwa huku watanzania wakivutana na kurumbana wengine wakidai umejengwa kisiasa wengine...
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?
Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya
Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.
Report ya...
Nani Kachora Nembo ya Taifa: Mzee Farahani (Farhan), Ngosha, au Jeremiah Wisdom Kabati?
Kuna wanaosema Mzee Jeremiah Wisdom Kabati kachora nembo ya Taifa. Wengine wanasema Mzee Ngosha kachora. Kwa sasa mimi nipo upande wa Professor Elias Jengo anayesema nembo ilichorwa na Mzee Abdallah...
Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu.
Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi nne za Dodoma Jiji ambazo ni Shule ya Msingi Kisasa,Medeli,Kizota na Mlimwa C.
Mradi huu ambao...
Na Hamisi Nasri, MASASI
WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni.
Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini.
Ila hali imekuwa tofauti katika Bunge hili na hali hiyo...
Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana.
Habari kamili ndio kama mnavyoona
Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi.
Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
Habari Wana JF,
Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali.
Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi.
Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua...
Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo.
Kwaniaba ya...
SITAKUJA KUHESHIMU SERIKALI YEYOTE DUNIANI HATA SIKU MOJA. MTUME PAULO ALIKUWA MAMLUKI YA WATAWALA KWA MASLAHI YA WATAWALA NA AKAIPOTOSHA JAMII.
Hakuna Serikali inayotoka kwa Mungu bali ni mitazamo ya wanadamu kwa maslahi ya kuwahadaa Wananchi ili waheshimiwe hata Kama wanafanya maovu. Na ndio...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma.
Akizungumza wakati...
Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu.
Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson Msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji Mkuu wa Serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini.
Na tunajua kuwa hali ya India kwa sasa kutokana na Janga la Covid 19 kuwa ni kubwa Naishauri serikali kufunga mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.