Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW
Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani.
Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.
Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania.
Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha.
Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee.
Ni Jambo...
Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi.
Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa...
Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu.
Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3.
Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye...
Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.
Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo:
1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona
2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu.
Akizungumza leo Jumatano Februari 10 2021 bungeni Jijini Dodoma, Profesa Mkenda amesema fedha zote za umma bila kujali ni za wizara gani...
Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine.
Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke.
Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake.
Source ITV habari...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi.
Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema...
SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88.
Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.
Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo...
Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia viwango vyao kwani grafu ya utalii inashuka.
Hata hivyo, Waziri wa...
Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa.
Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam.
Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu!
Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa...
Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa Serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Burigi - Chato National Park ili kuhamasishana katika Utalii wa ndani.
Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea...
Salamu wanajamvi!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mambo mawili ambayo kwa mtazamo wangu serikali ni kama imepigwa KO! Au unaweza kusema imepigwa mweleka kabisa. La kwanza ni kuhusu ajira kwa vijana. Tangu mwaka 2016 serikali haija ajiri vijana wanao hitimu vyuo vikuu na vyuo vya kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.