serikali

  1. Sauti ya Umma

    SAU yaishauri Serikali kwa kushirikia na vyombo vya habari kuhasisha misaada kwa Uturuki na Syria

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
  2. fimbo ya mpera

    Kuhama kwa hiyari Ngorongoro ni pigo kwa wasioitakia heri Serikali, wenye uchu wa madaraka

    KUHAMA KWA HIYARI NGORONGORO NI PIGO KWA WASIOITAKIA HERI SERIKALI, WENYE UCHU WA MADARAKA Tuhuma za kuunga unga zasambazwa kila kona kuichafua serikali, watendaji wake Mitandao ya kijamii yatumika kusambaza uwongo Watumishi wa NCAA wasio waaminifu watumia UDINI, UKABILA Kuhamasisha chuki dhidi...
  3. M

    Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  4. J

    Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  5. T

    Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

    Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea. Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi asipodhibitiwa kitakachofuwata kitakuwa ni kibaya sana. Kwa kuona hili mataifa yenye nguvu duniani...
  6. Poppy Hatonn

    Rais alitangaza tarehe 7, Desemba kwamba ataifumua serikali, mpaka leo kimya

    Ni karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo, je hii haionyeshi vacillation, kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi,au anashindwa kufanya maamuzi magumu? Historia ya Cabinet reshuffle Tanzania haijaonyesha bado kwamba kufanya Cabinet reshuffle ni jambo gumu. Kwa hiyo rai yangu mimi...
  7. Pascal Mayalla

    Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
  8. K

    Jengo la Serikali jipya linaloelekea kutelekezwa

    Kuna ujenzi wa jengo la Serikali linanohusiana na kuhifadhi chakula kwa njia ya mionzi ulikuwa unaendelea pembezoni mwa barabara inayoelekea Mpigi Magoe kutokea Mbezi. Hili jengo lilikuwa linajengwa na Wachina na walifikia hatua ya kufitisha madirisha. Lakini naona si chini ya miezi minne kila...
  9. NAMDORY

    Hivi humu ndani bado kuna wanaopinga kukosolewa kwa Serikali ya Awamu ya Tano?

    Jamani hakuna asiyejua kuwa Awami yatano ijapo na iliyoyafanya mazuri kwa wananchi, yote mazuri yanafutwa kwa mabaya waliyooyafanya kwa hao hao wananchi. Tulipoteza ndugu zetu, tulipoteza mali zetu, tulipoteza Uhuru wa kuongea. Pia tulipoteza uhaki wa uraia wetu, baada ya kuminywa demokrasia...
  10. B

    Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
  11. covid 19

    Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  12. J

    Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  13. je parle

    Tanga ni kama haina serikali kabisa, matapeli wa viwanja wanafanya wanavyotaka kwa kujitapa kuwa hakuna wa kuwatia nguvuni

    Nina andika kwa masikitiko makubwa huu mji wa tanga umekuwa wa hovyo mno .As if if hakuna serikali inayofanya kazi zake kwa weledi. Hii mata ya changani kuna huyu mwenyekiti anaitwa masumbuko sijui aliwezeje kukalia kiti cha kuwa mwenyekiti. Yan hana weledi alafu ni tapeli na nusu wao pamoja na...
  14. USSR

    Serikali imezuia mchele kuuzwa nje? Huyu analeta huyu anauza

    Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu. Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa hawa walioleta mchele kutoka nje wanaweza pia wakauza huko nje baada ya kuuleta hapa Tanzania ikawa...
  15. K

    Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  16. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  17. ASIWAJU

    Je, mikataba inayosaini Serikali inapitia bungeni?

    Habari za saa members wote. Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. SWALI: 1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ? i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ? ii,Je, sheria za nchi...
  18. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  19. BigTall

    DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
  20. Suley2019

    Muhimbili: Familia yaomba Serikali iisamehe deni la Tsh 10m ili wapate mwili wa ndugu yao mochwari. Profesa Janabi atoa utaratibu wa kuchukua mwili

    Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari. Mzee Swalehe alifariki katika...
Back
Top Bottom