serikali

  1. Nyenyere

    Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  2. benzemah

    Serikali ya Rais Samia ilivyoirejesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) nchini

    Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya sababu hizo ni maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoiongoza...
  3. R

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

    Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
  4. F

    Waganga wa kienyeji kutapeli na kuua watu mara kwa mara, kwanini serikali haiwachukulii hatua?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli? Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi...
  5. benzemah

    Naibu Waziri Silinde awataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara na Mamlaka Serikali za Mtaa kudhibiti uvujishaji wa Nyaraka za Serikali

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za Serikali kwakuwa suala hilo bado ni changamoto. Mhe. Silinde...
  6. Lycaon pictus

    Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  7. Rangooo

    TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  8. Mtuturas

    Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  9. K

    Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  10. benzemah

    Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  11. M

    Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

    Jamani acheni kula Tozo zetu
  12. Kaka yake shetani

    Watu wenye jinsia mbili ni kama Serikali imewasahau kuwasaidia

    Serikali ina wajibu kumuangalia kila mwananchi wake sehemu mbalimbali. Ila watu wenye jinsia mbili ni kama serikali imewasahau na kuwatelekeza kabisa. Mara ya kwanza sikuwa naelewa kuhusu ili swala mpaka nilipoweza kuona makala BBC swahili ikieleza changamoto wanazopitia tokea wadogo mpaka...
  13. B

    Serikali inavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Dar kwa Mradi wa Maji- Kidunda

    *SERIKALI YA RAIS SAMIA INAVYOKWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI DAR KWA MRADI WA BWAWA LA MAJI- KIDUNDA. Na Bwanku Bwanku. Leo kwenye Gazeti lako pendwa la Tanzania Leo ukurasa wa 14 nimechambua Mradi mkubwa wa maji wa Bwawa la Kidunda unavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Jijini Dar es...
  14. BigTall

    Watendaji Serikalini kusubiri matamko ya viongozi wa juu ndio watimize majukumu yao inaonesha kuna shida kwenye mamlaka

    Wiki iliyopita nilitazama taarifa moja ambao nainukuu hapa ilivyoanza; “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika vyombo vya sheria baba mzazi wa mwanafunzi wa darasa la pili (7) Jijini Arusha...
  15. B

    Kuitetea CCM labda ujitoe ufahamu

    Serikali madarakani ni ya CCM. Yapo mengi ya kushangaza: Ni Latra? LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza Ni hospitali? Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi? Ni abiria kwenye mabasi? Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi? Wapi...
  16. BARD AI

    Serikali yatenga Tsh. Milioni 757 kujenga Gereza jipya Kilosa

    SERIKALI imetenga Sh milioni 757 kumalizia ujenzi wa gereza jipya linalojengwa wilayani Kilosa ,mkoani Morogoro baada ya gereza la zamani kupitiwa na Reli ya kisasa (SGR). Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alisema hayo Februari 20,2023 kwenye mkutano wa hadhara...
  17. BARD AI

    Serikali yasema Milioni 5 Rais Samia ni za Kila Goli kwa Mechi zote za CAF

    MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea hadi mwisho wa mashindano ambayo timu hizo zinashiriki. Msigwa amesema katika michezo ya timu hizo...
  18. benzemah

    Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  19. Roving Journalist

    Januari Makamba: Wanaozuia bomba la mafuta lisijengwe ni wanafiki. EWURA yatoa kibali cha kuanza Ujenzi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
  20. Msanii

    Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
Back
Top Bottom