serikali

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

    Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo. Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

    Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Serikali inabebwa na shetani ndio maana mali tulizozikuta Duniani hati miliki ni ya Serikali

    Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe. Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
  6. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Aina za serikali za kiimla (Authoritarian states)

    Kuna aina kadhaa ya serikali za kiimla, ambazo hutawala kwa nguvu na udhibiti mkubwa wa kisiasa na kijamii. Hapa ntaelezea aina kadhaa za serikali za kiimla kwa lugha ya ufupi: Serikali ya kijeshi: Hii ni aina ya serikali inayoongozwa na jeshi la taifa. Viongozi wa jeshi huwa na mamlaka kamili...
  7. Santasente

    JamiiForums Tanzania Watu mtambue majukumu yenu sio kila kitu Serikali

    Habarini za mchana wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba watu watambue wajibu wao sio kila kitu serikali sasa mtu anakomaa eti serikali itoe tamko kuhusu ushoga utazani serikali ndio imewatunzia vinyeo vyao hii watu wawape watoto wao malezi bora na wao wajilinde ili...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Serikali imetoa zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kuboresha barabara za Kigoma

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema Serikali imetoa fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara yenye jumla ya urefu wa Kilometa 420 zinazojengwa kwa kiwango cha lami kwa wakati mmoja mkoani hapo. Amesema: “Hiki kinachofanywa na...
  10. reg edit

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    Nadhani umefika wakati sasa Serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi. Ni vizuri serikali (msemaji wa Serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

    Sherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu. Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania TFF inavyoiba mapato kwa kushirikishana na Serikali!!

    Wadau naomba nijielekeze kwenye mada tajwa. Wengi tunajua mechi za Simba na Yanga huwa ni tukio la kitaifa kama sio kimataifa na hugusa watu wengi,bahati mbaya naona Kuna kikundi kichache daima kinatumia mgongo wa Simba na Yanga kufanya wizi wa mapato. Kuelewa hili kwanza tutazame taarifa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge aomba uanzishwe mtaala wa Utajiri mashuleni

    Mbunge wa Ngara ameiomba serikali kuanzisha mtaala mpya wa Utajiri mashuleni ili kuwezesha Wahitimu kuwa na ari ya uwekezaji wanapomaliza masomo yao , amesema jambo hilo ni muhimu likafanyika ili kuleta akili mpya vichwani mwa watu na kuondoa ile dhana kwamba kila Tajiri ni fisadi . Ameshangaa...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  16. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui. Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe "Pamoja na Uwekezaji...
  19. aleesha

    JamiiForums Tanzania Mali za Serikali Kukamatwa

    Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366). CAG anaripoti...
  20. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye ukaguzi shule zote na vituo vyote vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wageni nchini

    Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
Back
Top Bottom