DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

HANGAYA THE CHIEF

JF-Expert Member
Sep 10, 2021
329
947
Utangulizi:
slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama nimekupiga, kwake hana tofauti ya kupiga na kupigwa, vyote ni sawa;

kwenye sakata la uuzwaji wa bandari za Tanganyika, mpaka sana nimeshindwa kuelewa tofauti ya DPW na CCM, Bunge, na Serikali, maana maslai ya DPW yanatetewa na CCM, na maslai ya watanganyika hatujui nani anayatetea.

kiufupi, Mkataba wowote wenye masilahi ya pande mbili (win-win situation) kila upande unakuwa na hoja zake kwa nini wanadhani kipengele fulani kwenye makubaliano kiwepo au kisiwepo. na hivyo pande hizi zote lazima ziwepo kwa maslai ya kila upande:

tukisema kuwa mkataba wa DPW ni kwa ajili ya kuisaidia Tanganyika pekee na kwamba DPW hakuna wanachofaidi si kweli, maana sio wajomba zetu kuwa wameamua kuja kupoteza muda kuinufaisha Tanganyika, lazima DPW wana maslai ndio maana wako tayari kuja kupiga pesa walizo chungulia kwenye rasilimali za Tanganyika.​

hoja yangu ni kwamba:
nimeona CCM, Serikali na Bunge, wamesimama kwenye kivuli cha upande wa DPW. na hivyo ni ngumu kuwatofautisha na DPW, na CCM, Bunge na Serikali, hapohapo wanasemea wapo kwa upande wananchi,
yaani tukiona CCM, Bunge, na Serikali ni kama tumeona DPW na tukiona DPW ni kama tumeona CCM, Bunge na Serikali.
Je wananchi wapo upande gani katika kulinda rasilimali zao?
 
😅😅😅Wamechanganyikiwa
 
wananchi hapo wapo upande gani? Jibu lake hapo wapo mtu kati wanapigwa kote kote. Ni mpaka mwananchi mmoja ajivike uchizi kuvunja chain. Ndio hao mnaosema wanatukana liwalo na liwe. Sasa shangazi ukimwambia hasikii, jaribu kutukana anaweza kuisikia lugha hiyo japo atachukia.
 
Wataipitisha hii kitu kwa kuwa mpini wameshikilia ila wajue, Tanzania haitakuwa ile ile. Maua yatakayopandwa na hao jamaa sijui kama yatazima moto huu.
 
Back
Top Bottom