Serikali za Kijeshi za Mali na Niger Zapanga Kuungana Kuukabili Uvamizi wa Kijeshi wa Magharibi na ECOWAS

The Shah of Tanganyika

JF-Expert Member
Jul 2, 2023
602
1,571
Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao.

Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na Ufaransa zilipanga uvamizi wa kijeshi ili kukomesha mapinduzi hayo matukufu yaliyolenga kuzikomboa rasilimali za madini za nchi Afrika kutokea mikononi mwa wakoloni (Ufaransa na Marekani).

Siyo bahati mbaya bali ni ufisadi na uhuni uliopangwa na unaoendelea kutekelezwa na viongozi wenye akili za matope wa Afrika kuzikabidhi rasilimali zote mikononi mwa wakoloni.

Kwa takwimu za karibuni Niger inazalisha asilimia nne (4) ya madini ya Urani duniani yanayotumika kuzalisha umeme pamoja na kutengeneza mabomu ya kimkakati. Lakini mpaka mapinduzi yanafanyika juzi, wananchi wa Niger walikuwa wamegeuzwa vibaka wa mtaani wasiyokuwa na huduma zozote za kijamii kinyume na ahadi mfu za wanasiasa akili matope wanazoimba mtaani kuwalaghai wananchi.

Mali ilikombolewa si muda mrefu kutoka kwenye makucha ya unyonyaji, ubakaji na utapeli wa wanasiasa. Niger nayo imechukua mkondo huohuo hapa majuzi.

Jambo hili limewatia hofu madalali na vibaraka wa ukoloni, mpaka wametishia kutumia majeshi kupambana dhidi ya wanamapinduzi.

Baada ya kuandika mawazo yangu, nimeweka habari hii hapa chini. Imetolewa kwenye mtandao wa rt.com


RT.
In the first-ever joint communique on Monday, the military governments in Mali and Burkina Faso warned the West and other African states against intervening in the neighboring Niger. Bamako and Ouagadougou would consider any such move as an attack on their own countries, they said.
“Any military intervention against Niger would amount to a declaration of war against Burkina Faso and Mali,” said point four of the joint communique, which a Burkinabe military spokesman deliberately repeated three times during a state television broadcast.
In case of such an intervention, the two countries would withdraw from the Economic Community of West African States (ECOWAS) and “adopt self-defense measures in support of the armed forces and the people of Niger,” according to the statement.
A military intervention against Niger “could destabilize the entire region, as had the unilateral NATO intervention in Libya, which was at the root of the expansion of the terrorism in the Sahel and West Africa,” the two governments said.
Niger junta arrests more government officials – presidential partyREAD MORE: Niger junta arrests more government officials – presidential party
France currently has 1,500 troops and a drone base in Niger, while the US has 1,100 troops and two drone bases, according to Financial Times.
Nigerien soldiers, led by General Abdourahamane Tchiani, ousted President Mohamed Bazoum last Wednesday. The African Union denounced the coup on Friday and gave the junta in Niamey 15 days to stand down or face “punitive measures.” ECOWAS issued its own ultimatum on Sunday, at the emergency meeting in Abuja, Nigeria, saying that it would “take all measures necessary to restore constitutional order in the Republic of Niger,” including the use of force, if Bazoum is not restored within a week.
Mali and Burkina Faso condemned the sanctions ECOWAS announced on Saturday as “illegal, illegitimate and inhumane.” They also expressed “fraternal solidarity” with the Nigerien people, “who have decided to take their destiny into their own hands and to assume before history the fullness of their sovereignty,” according to their joint communique.
France planning strikes to free ousted president, Niger junta saysREAD MORE: France planning strikes to free ousted president, Niger junta says
The military governments of the two former French colonies have sought to sever their ties to Paris and rebuild their statehood with Russian assistance.
On Sunday, General Tchiani’s government announced it would suspend the export of uranium and gold to France, to the accolades of some of the local population.
“We have uranium, diamonds, gold, oil, and we live like slaves? We don’t need the French to keep us safe,” one pro-government demonstrator told the local news portal Wazobia Reporters.
Niger is the world’s seventh-largest producer of uranium, accounting for 4% of the global output. A French company controls about two thirds of the country’s output.
 
Utawala wa kiraia ni muhimu no mattter what,, muhimu wasimamie apatikane kiongozi mzarendo, mimi naamini Africa wapo watu makini.
Watu makini nchi imegeuzwa msukule? Unapenda wananchi waishi kama vibaka bila ajira, shule, maji, na huduma za afya huku nchi nzima itetapakaa dhahabu na Uraniam?

Hii ni fursa ya pekee kwa wanamapinduzi kurudi kuzikomboa nchi zote za Afrika. Isisalie nchi moja ya madalali wa rasilimali za Afrika. Mambo ya tawala za kuletewa na mashoga yanayolenga kuzitawala rasilimali za Afrika ni ya kukomesha kwa njia yoyote inayowezekana.
 
Sisi hatuna mtetezi wa mali zetu hasa Tanganyika?
 
Ukanda wa mapinduzi ya kijeshi
FB_IMG_1690860345523.jpg
 
"In France, one in three light bulbs is powered by uranium from Niger. Whereas, 80% of people in Niger do not have access to electricity. How can Niger export almost $40 billion a year in Uranium alone yet only have a GDP of $9billion." From online.

Afrika inahitaji ukombozi wa haraka sana.
 
Mali ilikombolewa si muda mrefu kutoka kwenye makucha ya unyonyaji, ubakaji na utapeli wa wanasiasa. Niger nayo imechukua mkondo huohuo hapa
Mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuwa suluhisho la kudumu la matatizo ya kiusalama na kiuchumi hapa Africa.

Hata hao wanamapinduzi mwishowe wataishia kung'ang'ania madarakani tu.
 
Back
Top Bottom